Arusha wakomaa na CHADEMA yao

Arusha wakomaa na CHADEMA yao

Sasa mnaesema amechoka,hivi SLAA na LOWASA hali zao zipoje hapo.

Na LOWASA akinasa nchi,basi Chadema safari imefika
 
sijafuatilia tukio zima kwahiyo suna maneno kwa sasa
 
Nilitamani Lowassa akamate urais wa nchi hii,si kwa kuwa nampenda ila ni kwa kuwa lile azimio la bagamoyo kuwa hakuna rais atakayetoka kaskazini linanichoma moyo mno, kama si Wp slaa atakayetuondolea dhihaka hiyo basi awe hata Lowassa!! Ila kwa nilichokishuhudia uwanjani leo!!! Nimebakiwa na karata moja tu!
 
Hakuna kipya zaidi yale ya kila siku maamuzi magumu
maamuzi magumu maauzi maumu
 
mkuu sijui kwa nini watu hawaoni kuwa Lowasa is already dead living... amechoka hata body gesture yake imedhihirika haina mawasiliano thabiti kati ya brain na viungo vingine.

Kingune anaonekana kijana kuliko Lowasa

Sijui alipanick. Hakuonesha manjonjo wanayoonesha wengine. Alikuwa kama raid anayehutubia wananchi tena aliyechoka. Alitakuwa ile hotuba aikariri kisha aizungumze bila kuisoma. Hilo lilimshinda. Halafu hakuwa akiweza kutamka maneno.kwa ufasaha. Kwa ujumla.hakuwa kivutio.
 
wanaoojiita shirikisho la walimu dar es salaam eti nao wameenda wakiamini lowasa ni mkombozi wao. hii mzigo mizito.

Kumbe ndo maana alisema akiingis mjengoni atarekebisha maslahi yao. Lakini Lowasa alikuwa bungeni muda wote Sita anachinjilia mbali rasimu ya Warioba na kupitisha ile inayoruhusu ufisadi. Kingunge aliipigia chapuo.
 
Wapambe wake inabidi wamwonee huruma jaman, amechoka hatatoboa!!!
 
Kepteni Lowasa yule mwenye makeke na kuongea kama chiriku sie huyu wa Arusha. Amechoka sana hata alivyopanda jukwaa ilibidi apumzike kwanza katikati. Alijaribu kuimba na kucheza lakini akashindwa kabisa. Sidhani kama anaweza kuhimili mchakamchaka aliouanzisha pale Arusha. Lakini kwa vile ana hela zitakuwa zinatumika kufanya kampeni.
 
....yaaani idadi ya wakiofika toka kila kona ya nchi haizidi hata mkutano mmoja wa Godbless Lema ambao anaweza kuuandaa kwa siku moja na nyomi ikawa kubwa kuliko hii, kwa mtazamo wangu investment ya lowasa is not equivalent to the number of people ...

Wacha uwongo mkuu. Nyomi la aina ya leo ni la pekee sio Arusha bali Tanzania nzima kwa chama cha siasa. Najua Unaweweseka breath brother breath. Gemu ndio imeisha mkuu.
 
Wacha uwongo mkuu. Nyomi la aina ya leo ni la pekee sio Arusha bali Tanzania nzima kwa chama cha siasa. Najua Unaweweseka breath brother breath. Gemu ndio imeisha mkuu.

Haya tumesikia! Nyomi yote iligeukia kwa diamond na kumuacha mtangaza nia na wapambe jukwaa kuu! Nadhani wasafiri wa safari ya matumaini wameshaanza safari kurudi makwao nje ya A Town, majibu ya ipi ni nyomi ya ukweli na ipi feki, yanakuja!
 
Mkuu nasikia ile sheria imekua signed oh...ila umeandika kweli tupu, leo nimemwangalia sana akiongea, jamaa katili huyu mh.
 
Sio mzima wewe.

UNAFIKIRI AKIPITA UTAKUA DC?. MJ.N.GA. KABISA WEWE.:msela::msela::msela::alien::sad::director:
 
Sijui alipanick. Hakuonesha manjonjo wanayoonesha wengine. Alikuwa kama raid anayehutubia wananchi tena aliyechoka. Alitakuwa ile hotuba aikariri kisha aizungumze bila kuisoma. Hilo lilimshinda. Halafu hakuwa akiweza kutamka maneno.kwa ufasaha. Kwa ujumla.hakuwa kivutio.

He is ill.
 
dahhhh!!
sawa yeye ni mfu anayetembea wewe je?
achen kusema vibaya nammin wewe ungejua mnganga ungeenda kumpoteza kabisa
ivi hakuna sera ingijne ya kushikilia adi uone afya yake ndo sera?

Wewe ni ma.laya tu usiyejua lolote. rais anapokuwa dhaifu mgonjwa kama huyo fisadi wako taifa linakuwa ill. uma.laya wako upeleke hukohuko.
 
Wacha uwongo mkuu. Nyomi la aina ya leo ni la pekee sio Arusha bali Tanzania nzima kwa chama cha siasa. Najua Unaweweseka breath brother breath. Gemu ndio imeisha mkuu.

....dogo nakusikitikia sana maana lowasa hawezi kuwa rais wa tanzania kamwe, kama huamini subiri uone...
 
Back
Top Bottom