Arusha wakomaa na CHADEMA yao

Arusha wakomaa na CHADEMA yao

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,096
Nimefuatilia yanayoendelea hapo Arusha mkutano wa EL. kweli wengi hawachangamkii hotuba. Mwishono baada ya EL kumaliza inabidi kina Gwajima na Ngombale waokoe jahazi. Angalau jukwaa kuu linaitikia kidogo. Ni nje ya mategemeo yangu pamoja na mabilioni yote yaliyotumika kuandaa. Kazi ipo.
 
Subiria October
 
We unaangalia tv gan?? Au umeamua kuufumbia macho ukweli tu
 
Helikopta zinatimulia watu vumbi. Ngombale kageuka msemaji mkuu. Anawasemea Wagombea wengine.

Umati UNAZOZA TU wakati hotuba zinaendelea.
 
Helikopta zinatimulia watu vumbi. Ngombale kageuka msemaji mkuu. Anawasemea Wagombea wengine.

Umati UNAZOZO TU wakati hotuba zinaendelea.

Zimetimua kwa masaa mangapi?? Ile kutua tu na kuondoka mmeshaanza kuona ni tatizo.
 
Leo lawasa kashindwa kuongea kama tulivyotarajia ,kashindwa hata kuzingatia itifaki hivi kweli ataweza kampeini?.
 
mkuu sijui kwa nini watu hawaoni kuwa Lowasa is already dead living... amechoka hata body gesture yake imedhihirika haina mawasiliano thabiti kati ya brain na viungo vingine.

Kingune anaonekana kijana kuliko Lowasa
 
kuna watu mngekuwa ndo Mungu nyie yaan mngemfutilia mbali toka kwenye uso wa dunia huyu EDO
ivi chuki ya namna hii ni kwaajili gani hasa?
wewe ni Mungu adi uulize ataweza kampeni?
ivi wewe kinachokushinda kujadili sera zake ni kitu gani?
afya nya mtu i mikononi mwa jalali na yeye ndiye humfanya mzima kuwa mfu na mgonjw akauwa mzima
mwachen jaman kama imeuma pandeni basi juu mkazibe
 
Zimetimua kwa masaa mangapi?? Ile kutua tu na kuondoka mmeshaanza kuona ni tatizo.
Ni fujo tu hakuna itifaki hapo. Mgeni mkuu ameshakaa huku kada anashusha copta ndani ya halaiki.? Ona EL anageuka MC kwa kuchukua mafasi ya Kibonde. Jukwaa kuu limechafuka wageni wananyanyuka baada ya KNg kuwaboa. Kina Rita Mlaki na Tibaijuka wananyanyuka bila utaratibu kupata nafasi ya Luninga.
 
....yaaani idadi ya wakiofika toka kila kona ya nchi haizidi hata mkutano mmoja wa Godbless Lema ambao anaweza kuuandaa kwa siku moja na nyomi ikawa kubwa kuliko hii, kwa mtazamo wangu investment ya lowasa is not equivalent to the number of people ...
 
mkuu sijui kwa nini watu hawaoni kuwa Lowasa is already dead living... amechoka hata body gesture yake imedhihirika haina mawasiliano thabiti kati ya brain na viungo vingine.

Kingune anaonekana kijana kuliko Lowasa

dahhhh!!
sawa yeye ni mfu anayetembea wewe je?
achen kusema vibaya nammin wewe ungejua mnganga ungeenda kumpoteza kabisa
ivi hakuna sera ingijne ya kushikilia adi uone afya yake ndo sera?
 
Wengi wetu tupo kishabiki zaidi. EL is very sick and tired. Mwataka ya Nigeria kuongozwa na rais aliyekuwa ICU hapa? Someni body language ya EL kisha mrudi hapa kumtetea, otherwise hatufai kwa leo wala kesho. Na kwanini atumie gharama kubwa hivyo kutangaza nia tu. Kuna analojaribu kuwaficha watanzania si bure. Mshaurini apumzike tu hakuna wa kumcheka.
 
mkuu sijui kwa nini watu hawaoni kuwa Lowasa is already dead living... amechoka hata body gesture yake imedhihirika haina mawasiliano thabiti kati ya brain na viungo vingine.

Kingune anaonekana kijana kuliko Lowasa

amechoka sana tena sana.
 
....yaaani idadi ya wakiofika toka kila kona ya nchi haizidi hata mkutano mmoja wa Godbless Lema ambao anaweza kuuandaa kwa siku moja na nyomi ikawa kubwa kuliko hii, kwa mtazamo wangu investment ya lowasa is not equivalent to the number of people ...

wanaoojiita shirikisho la walimu dar es salaam eti nao wameenda wakiamini lowasa ni mkombozi wao. hii mzigo mizito.
 
Mkuu hebu weka full text hotuba ya safari ya huzuni huko A Town. Nilikuwa busy shambani Mkuu!

hakuna cha maana alichosema. mimi nilitarajia angetuambia fedha za Richmond nani alializichukua.
 
Back
Top Bottom