Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
Utakuwa mchepukoAcha zako. Taarifa iliyopo tu ni kwamba wana arusha wamebubujikwa na machozi mengi sababu mkombozi wao Makonda anakuja.
Au nasema uongo Lucas mwashambwa

Ni jambo jema sana, mwenzio yakimpata magumu kumfariji. Japo mtakuwa mnaonyesha ubaguzi,kwa kiasi fulani, mbona mlitelekeza Mh. Chongolo maana alitokea hukohuko! Anyway yamepita, kila la heriJiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Arusha ni mkoa, yeye hakuchaguliwa kuwa mkuu wa wilaya. Elimu, elimu, elimu!Arusha
####
Mpokeeni kwa kishindo, RC MPYA, adha zenu za muda mrefu zinakwenda kwisha na kuwa historia, za ngonjera changanyeni na kwenu,
"Arusha iwachane na uanaharakati wa kijinga iende kwenye maendeleo yanayofanania jiji la Arusha "
Unayo habari kuwa Dar amefunguliwa kesi ya kutishia kuua mfanyabiashara aitwaye Salah?Ni lazima kanda ya kaskazini isimame na kutetemeka katika mapokezi mazito ya Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Hizo habari za deni la taifa utazijulia wapi wakati unafatilia tuu habari za kupongeza na kusifia pekee!Weka huo ushahidi wa Deni la Trilioni 90.au ndio umeshaanza kutetemeka na kuchanganyikiwa kabla mwamba mwenyewe hajakanyaga katika ardhi ya Aro.wewe kama ulikuwa unavuta mibangi kama kichaa ni bora ukaacha mapemaaa sana au uhame kabisa mkoa ,maana kwa sasa wavuta Bangi mwisho wao umefika.
UpumbavuJiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Jitekenye mwenyewe Bashite hakubaliki hata na wazazi wakeJiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
well plan wanainchi wa Arusha kumpokea kiongozi wenu...Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
EWE KIJANA WA HO... USIYEJITAMBUA, NINANI KAKUROGA??Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
SEMA WANA CCM, EBOOOOOJiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.