Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,883
- 1,854
Weka video tuone walivyojipanga
Mkuu wa mkoa ni Rais wa mkoa. / hayo yote ni sehemu za kazi zake,mkoani humo.Barabara, maji, umeme vijijini, uchafu, stand, wamachinga lazima vyote viishe sio?
PROPAGANDA HIZIJiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Nikweli bwana m.s.i.b.aNi lazima kanda ya kaskazini isimame na kutetemeka katika mapokezi mazito ya Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Nchi ngumu sana,yaani licha ya kumpamba kooote kule Bwana Bashite lakini ndie anayeshikilia rekodi ya kuwa Mwenezi wa Chama aliyekalia kiti kwa siku chachena mbwembwe zake zooote zile msafara kama wa Rais lakini hata miezi 6 hajamaliza kwenye Uenezi!!!kazi kwelikweli
Naona mabasi yanajaa kuelekea kaskazini na sikukuu zishapita, mnawasomba wawahi kwa mapokezi na walienda kwa shughuli ya leo watabaki huko ili kufanikisha hilo, tushawashtukia.Ni lazima kanda ya kaskazini isimame na kutetemeka katika mapokezi mazito ya Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Kafanye kazi,Acha kutukiza watuJiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Kila jamii maboya hawakosekani, wananchi walio wengi Arusha si wajinga wa kiasi hicho hisipokuwa maboya wachache ndio watakaoifanya shughuli ya kumpokea kiongozi mwenye makandokando aina ya MakondoJiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Shujaa kwa lipi?Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Etwege@ workJiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
😀 😀 😀Eti naomba kuuliza. Hivi kumbe wapo watu wazembe ambao hawavumilii uzembe?
Weka huo ushahidi wa Deni la Trilioni 90.au ndio umeshaanza kutetemeka na kuchanganyikiwa kabla mwamba mwenyewe hajakanyaga katika ardhi ya Aro.wewe kama ulikuwa unavuta mibangi kama kichaa ni bora ukaacha mapemaaa sana au uhame kabisa mkoa ,maana kwa sasa wavuta Bangi mwisho wao umefika.