Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.

Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Labda shujaa wa kiume anaemiliki wenzere au msambwanda kuliko wasimbe wa UWT
 
Akili za kiccm bana. hapo ulipo Hauna umeme, Hauna Maji, Hauna hela, uko bize kuandika iujinga, . Pumbavu

Nikuulize akiwa mwenezi huko alikopokewa kwa msururu wa magari 120 sasa hivi wamenufaika na Nini??
Nchi hii ina wajinga wengi sana
Watu wanashabikia mambo ya siasa yanayogusa maisha yao kama timu za mpira
 
Kama Arusha watamshobokea bashite watakuwa wamejidhalilisha saaana uelewa wao mtoto wa nyoka ni nyoka na huyo jamaa ni climinal kama Bashir wa sudani.
 
Kama Arusha watamshobokea bashite watakuwa wamejidhalilisha saaana uelewa wao mtoto wa nyoka ni nyoka na huyo jamaa ni climinal kama Bashir wa sudani.

Kumpokea kiongozi wao ni kushoboka?
 
Weka huo ushahidi wa Deni la Trilioni 90.au ndio umeshaanza kutetemeka na kuchanganyikiwa kabla mwamba mwenyewe hajakanyaga katika ardhi ya Aro.wewe kama ulikuwa unavuta mibangi kama kichaa ni bora ukaacha mapemaaa sana au uhame kabisa mkoa ,maana kwa sasa wavuta Bangi mwisho wao umefika.
Mwamba Mwenyewe kijana jasiri zaidi kuwahi kutokea katika ukanda huu WA maziwa makuu na pembe ya Afrika, kiongozi asiye na simile linapokuja suala la kazi na haki za wananchi l, Mwamba WA kaskazini na kimbilio la wanyonge

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Mbajo achaga ufogosoooo.... Hapa chuga hakuna unguchiro huo..
. Huyo aje kwa adabu tutampapa mataqo... Hapa sio dar kwa walamba lips alooo.
 
Arusha inaenda kuneemeka sana kwa sababu makonda ni rafiki wa samia na imani kila akiomba fedha atapewa hakutakuwa na danadana nyinfi
 
Back
Top Bottom