Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.

Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Tupatie tarehe mkuu, sikuhiyo rais atangaze siku ya mapumziko.
 
Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.

Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Itakuwa umekula ile ya lengijave walahi
 
Labda wenye akili kama za kinyonyoo
 
nakonda anakwenda kuwanyosha waujumu maendeleo arusha

ARUSHA si ya kukosa stend ya maana, si yakua na vijana wavuta bangi na wachochezi wa vitendo vya kialifu ..arusha si karakana ya pombe feki ..arusha si wanja wa kukwepa kodi na biashara haramu za machangudoa
 
Arusha
####
Mpokeeni kwa kishindo, RC MPYA, adha zenu za muda mrefu zinakwenda kwisha na kuwa historia, za ngonjera changanyeni na kwenu,
"Arusha iwachane na uanaharakati wa kijinga iende kwenye maendeleo yanayofanania jiji la Arusha "
Barabara, maji, umeme vijijini, uchafu, stand, wamachinga lazima vyote viishe sio?
 
well plan wanainchi wa Arusha kumpokea kiongozi wenu...

akihitimisha kazi maalumu Arusha, kisha atahamishiwa Mwanza na hatiamae baadae katika jiji la Dar Es Salaam...

viva RC, comrade Paul Christian Makonda viva....
Mama alishasema yeye hataki maneno mengi isipokuwa atatumia pen tu, kilichomuondoa kwenye unezi ni hasara aliyoitia taifa pasipo na sababu za msingi na wakimwambia atoe ushirikiano ili magari yatengenezwe anagoma na kujibu jeuri, na huko Arusha amepelekwa kwa matazamio akichemka na kuleta mizozo isiyo na maana utasikia atapangiwa kazi nyingine na hiyo ndio itakuwa by by by.
 
akihitimisha kazi maalumu alopangiwa kuifanya Arusha, atakwenda Mwanza, kisha Dar es Salaam na mission itakua accomplished bila mbambamba....
 
Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.

Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Kuiba magari ni ujingatu, anyway wacha wakomeshwe wasie mpenda kaja.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Akili za kiccm bana. hapo ulipo Hauna umeme, Hauna Maji, Hauna hela, uko bize kuandika iujinga, . Pumbavu

Nikuulize akiwa mwenezi huko alikopokewa kwa msururu wa magari 120 sasa hivi wamenufaika na Nini??
Uvccm hakuna kitu wanakosa
Maji
Umeme
Hela
Kila kitu wanacho labda kidogo wanapungukiwa ufahamu
 
Back
Top Bottom