Arusha wadada wawili na mkaka mmoja Driving

Arusha wadada wawili na mkaka mmoja Driving

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,218
Reaction score
1,987
Aweanaishi Arusha mjin atafanya kazi chin ya kampuni na atalipwa kwa week

Uwe chini ya miaka 33
Wadada wataendesha mjin leseni ikiwa ya biashara itapendeza zaid ila kikubwa uwezo kwenye driving

Mkaka we utakuwa wa masafa marefu wewe uwe na cheti cha driving veta au NIT

Tuma cv 0716176602

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyoo ni kwa mwez ila baada ya hapo wataangalia wenyewe kma wanaweza kuwaajili kuhusu jina la kampuni utaletewa mrejesho
Mshahara ni mapatano ila ni pesa nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyoo ni kwa mwez ila baada ya hapo wataangalia wenyewe kma wanaweza kuwaajili kuhusu jina la kampuni utaletewa mrejesho
Mshahara ni mapatano ila ni pesa nzuri
Umeletaje Tangazo bila ya kujua jina la Kampuni na utasemaje Pesa ni nzuri wakati huo huo unasema mshahara ni mapatano. Yaani watu hawajapatana wewe tayari umeshajua kwamba itakuwa pesa nzuri?
 
Siku hizi tunadalalia hadi ajira za makampuni ya watu tusiowajua. Ukituma cv unadaiwa na mshahara wa mwezi mmoja. Hahahaaa
 
Tapeli uchwara, hata kutapeli hujui, mfano ni kweli wew siyo tapeli ila mimi siwezi fanya kazi na kampuni ambayo wew ni muhusika mana unaviashiria vingi vya utapeli utapeli


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom