jamani sehemu kama hiyo inakuwa chafu tena mikutano yote ya kimataifa inakuwa huko ..utalii unapita mitaa hiyo kulikoni?
hivi wa kwetu, huku kwetu kuna hata mabwana/bibi afya kweli?we acha tu..kimbembe kinakujaga pale kukiwa na mikutano na mkuu wa nchi ndio host mbona tunajiju na hayo mafoleni ya kupita vichochoroni...mweee
itabidi uisaidie polisi mpwa!......Management
Leadership ya Manispaa ya Arusha ina shida kubwa sana, wengi wanaoishi Arusha wana idea na mgogoro uliopo huko!
Kuna aina fulani ya ugomvi wa Wazawa(Waarusha) Vs Wa-kuja katika kuongoza Maniispaa.
Shida kubwa ni kwamba ugomvi huu unakuwa supported bila aibu na Vigogo wakubwa kabisa waliokuwa serikalini siku za nyuma wakajiuzulu!...Wazawa wameshindwa kazi, na akija mtu mwingine, anapigwa vita ya hatari!....Nina mifano ya jamaa zangu kibao ambao wamezalishiwa matatizo kibao na kesi mahakamani, kisa ni wakuja, na wanataka kubadilisha system za uendeshaji!
Kwahiyo, shida ya Arusha inataka jicho la tatu kuiondoa....
Management