ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora!
Rais ametumia TZS99bn kujenga shule mpya 34, madarasa 834 mabweni 60 na maabara 78.
Rais Samia amejenga shule mpya 27 za sekondari, shule mpya saba (7) za msingi na kujenga vyumba vya madarasa 843 na mabweni 60 ya wavulana na wasichana. Hata hivyo Mama Samia kwa kukuza vipaji vya sayansi amejenga Maabara 78 za kufundishia masomo ya sayansi, hata hivyo, pamoja na ujenzi wa majengo ya Maktaba 26, majengo ya TEHAMA 26, majengo ya utawala 26, nyumba za walimu 27 amejenga pia matundu ya vyoo 940.
View attachment 3414386
Kwa akili Yako unazani ni kubwa wakati Pato la Arusha kwa mwaka ni BILION 135ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora!
Rais ametumia TZS99bn kujenga shule mpya 34, madarasa 834 mabweni 60 na maabara 78.
Rais Samia amejenga shule mpya 27 za sekondari, shule mpya saba (7) za msingi na kujenga vyumba vya madarasa 843 na mabweni 60 ya wavulana na wasichana. Hata hivyo Mama Samia kwa kukuza vipaji vya sayansi amejenga Maabara 78 za kufundishia masomo ya sayansi, hata hivyo, pamoja na ujenzi wa majengo ya Maktaba 26, majengo ya TEHAMA 26, majengo ya utawala 26, nyumba za walimu 27 amejenga pia matundu ya vyoo 940.
View attachment 3414386
Hapo ni Sekta ya Elimu au hujasoma Maelezo...Kwa akili Yako unazani ni kubwa wakati Pato la Arusha kwa mwaka ni BILION 135
KUTIKI PAKO PALE PALE... KUPIGA KURA NI HAKI YA MTU baki na chama chako cha kupiga makelele na bila kutengeneza hoja za Msingi mnaendeshwa kama gari bovu.

Hamna hoja....
Hamna hoja....