Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Wasalaam,
Hiki ni chuo cha ufundi jijini Arusha, junction ya Moshi na Nairobi roads.
Ningependa kukifaham zaidi. Mazingira, elimu ya hapo, wafanyakaz, wanafunzi, n.k
Napendelea kufanya kazi hapo mahali lakin sipafaham vizuri. Mwenye taarifa zaidi na ufaham naomba share nami hapa.
I wsh i could be a lecturer there, but am still undecided. Help me plz.
Asanteni.