Arusha Technical Ccollege

Arusha Technical Ccollege

Mm nimesoma pale. Kama mwalimu hakikisha upo vizuri otherwise wewe ndiye Uta disco.

Kuna Dr Masudi Senzia Chief Taaluma na Dr Masika principal. Yaani awana utani pale ni KAZI TU
 
Mm n muhitim wa chuo cha veta tang nina level 3 ya MOTOR VEHICLE MECHANICS na nina division 4 kwa masomo ya phys,chem biol,civs islamc knowledg Je nawez kujiung ja fan ya mechanical engineer
 
Anzisha thread kule education forum mkuu
 
ni chuo kizur sana mazingira yake safi wafanyakaz wanajaliwa sana pia vifaa vya kufundishia vipo vya kutosha.pia mkuu wa chuo yupo peace sana

Vipi kijiunga taratibu zao zikoje pamoja na garama kwa ujumla
 
Mm nimesoma pale. Kama mwalimu hakikisha upo vizuri otherwise wewe ndiye Uta disco.

Kuna Dr Masudi Senzia Chief Taaluma na Dr Masika principal. Yaani awana utani pale ni KAZI TU

Duuh hapo kazi tu, vipi mazingira ya kazi na maslahi kwa ujumla wake
 
Kimazingira kipo karibu na Triple A kwa upande wa magharibi...........mashariki kuna Sundowners........kusini ipo Narok.....Kaskazini kuna lodge nzuri sana inaitwa SG........kusini mashariki kuna Pin point......Big L na Picnic.....kaskazini mashariki kuna Ma....o bar........
karibu sana Technical College.........

Yaani wewe wakati mwingine siyo mzima yaani nimecheka sana kuhusu ile baa yetu ileeee
 
Back
Top Bottom