Arusha: TAKUKURU yakanusha kumshikilia na kumhoji Mrisho Gambo

Takukuru ishapoteza uhuru sasa ipo mikononi mwa jiwe akiamka vizuri wapo salama, akiamka vibaya wamekwisha.
 
Vyombo vya kampeni za CCM (TRA, TAKUKURU, USALAMA, POLICE, TRAFFIC, NEC) zimeanza kazi rasmi, Bunge tayari limeshamaliza kampeni zake. Mahakama bado zipo kazini na zenyewe.

Cha ajabu bado CCM hawajiamini na wanaogopa.
 
Lazima wakanushe,wao Takukuru ,na Shanandiyo walimtolosha asidakwe
 
Hiyo taarifa mbona hovyo hivyo..!?
Hamna signature wala mhuri!
Yaani linaelea elea tu, hao Takukuru ueledi wao unatia shaka! Au imetengezwa mtaani..!?
 
Mnatakiwa mpost kitu chenye uhakika,mlisema kahojiwa Mara hakuhojiwa,tatizo nini.hebu fanyieni uchunguzi jambo kabla ya kupost
 
Takukuru haiko huru tena kwani hawajui mkuu ataamkaje siku inayofuata.
 
Inaonekana Ruge, atasaidia kupambana na RUSHWA iliyojaa Arusha. Kwa kuanza, tafadhali
pambana na Rushwa pale Baraza la Aridhi na Nyumba. Baraza hilo lipo eneo la majengo ya
Mkuu wa Wilaya ya Arusha. Kuna Mwenyekiti anaitwa Mdachi, anakula RUSHWA mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…