kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Mlifikiri arusha ni kagera?
mbona mtasubiri sana?
Mrisho gambo aliyekutuma mwambie amewrong no
Ulikuja kwa ajenda za kisiasa nakwambia sisi watu wa arusha ccm ni haramu kwetu kama ilivyo nguruwe kwa waarab!
Ccm kwa arusha mtasubiri sana
Hatutetereshwi na vimisaada vya bodaboda au vimiradi
Mjasiri haachi asili 2020 mziki ni ule ule mpaka mtaomba poo
Mtajifariji kwa lipi?
Tuwashukuru kwa lipi?
Lema ametesekea ndani bcoz of u gambo na ccm hatujasahau eti wala hatutosahau.
Tumieni kila nguvu ila demokrasia na chadema vitaendelea kutamalaki na kusonga mbele tanzania inshaallah
La mungu haliepukiki
Analopanga mungu binadam hawezi kulivunja
Udhalimu na mateso watanzania tulopewa na ccm ni funzo tosha na hatutofanya makosa
Akitoka gambo mleteni bashite!
Mwendo ni ule ule
Watu wa arusha hatuyumbishwi wala hatutetereki!
Mikoa yenye ccm kindakindaki inaongoza kwa kurudi nyuma kimaendeleo
Lakini mikoa ilojua mchele na chuya Alhamdulillah. mambo ni mazuri na wamesonga mbele kimaendeleo