Mikoa iliyopo mipakani mwa Tanzania serikali ya CCM ina tatizo gani?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Mwenye kujua Ili naomba kujuzwa maana mikoa mingi iliyopo mipakani mwa nchi zinazozunguka ni kama zimewekwa kwa ajili ya kuombea uchaguzi.

Kimaendeleo ni tatizo labda nguvu za wenyewe au taasisi za dini kupeleka maendeleo ndio maana askofu Bagonza ana wauliza Ili.

Tanga, Kagera, Mtwara, Ruvuma, Mara, Mpanda, Musoma, Moshi, Arusha, Songwe, Njombe na Kigoma.

Kiukweli zimewekwa pending sana kimkakati na CCM mpaka Israel na Gaza
 
Tanga, arusha na Kilimanjaro watoe kwenye hilo kundi la hizo mikoa duni, ongezea songwe, Rukwa na Katavi
 
Mwenye kujua Ili naomba kujuzwa maana mikoa mingi iliyopo mipakani mwa nchi zinazozunguka ni kama zimewekwa kwa ajili ya kuombea uchaguzi.

Kimaendeleo ni tatizo labda nguvu za wenyewe au taasisi za dini kupeleka maendeleo ndio maana askofu Bagonza ana wauliza Ili.

Tanga,Kagera, Mtwara, Ruvuma, Mara, Mpanda, Musoma, Moshi, Arusha, Songwe, Njombe na Kigoma.

Kiukweli zimewekwa pending sana kimkakati na CCM mpaka Israel na Gaza
Wewe utz wako ni wa mashaka, hivi kweli kuna mkoa wa Mara na mkoa wa Musoma
 
Back
Top Bottom