Arusha raha tupu,siasa kila kona

Arusha raha tupu,siasa kila kona

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
tunashukuru sana kuletewa siasa zingine za uamsho wa hali ya juu,mnakumbuka Arumeru mashariki????ule moto umehamia kwenye udiwani Sombetini,ndio hadithi za kila kona,usafiri wa kuelekea huko umekuwa mgumu,kila mtu anataka kushiriki,watu wameamka mno kiasi kwamba inatishia amani ya nchi,sisi huku tukitoka out tunaenda sombetini kwenye kampeni,yaani raha tupu,karibuni sana muone siasa za kistaarabu zinazoendeshwa na makamanda!!
 
Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu. Ahsanteni makamanda kwa kutuwakilisha ipasavyo maccm yatasubiri sana.
 
Kamwe usihesabu vifaranga kabla havijatotolewa!!
 
tunashukuru sana kuletewa siasa zingine za uamsho wa hali ya juu,mnakumbuka Arumeru mashariki????ule moto umehamia kwenye udiwani Sombetini,ndio hadithi za kila kona,usafiri wa kuelekea huko umekuwa mgumu,kila mtu anataka kushiriki,watu wameamka mno kiasi kwamba inatishia amani ya nchi,sisi huku tukitoka out tunaenda sombetini kwenye kampeni,yaani raha tupu,karibuni sana muone siasa za kistaarabu zinazoendeshwa na makamanda!!

Na hawa ni ccm wakifanya mkutano wa kujenga chama ila toka uhuru bado wanajenga chama??????
 
Hawa jamaa( kijani) Hawana tofauti na nyani yasemekana nyani walitamani kujenga nyumba kama sisi wanadamu. Ila hawakuwa na uelekeo.ikawa vikao kila siku hadi leo nyani anaishi kwenye miti tuuu ( NYANI HADI WAMEOTA UGOKO SEHEMU YA NYUMA )Vikaoo vingiiii toka 1950 hadi leo ujenzi gani usoisha.!!!!!....... Tumechokaa sasa aghhrr. Wapende wasipende Sombetini ya Chadema... Watuache na Sombetini yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom