Arusha Politics: Why CHADEMA's popularity is waning...


hao wananchi waliuomchagua lema na mimi nimo..........................tumechoshwa na siasa zake za ugomvi..........tunahitaji mtu wa kwenda kujenga hoja bungeni..............................Arusha tunakero nyingi na haya mapambano yake laiti kama angelitueleza kabla hajachaguliwa tungelimkataa.........................baada ya kuchaguliwa kaanzisha ajenda zake...................anti-developmental....................ishara ya kwanza ni kuwa hatutapiga kura ya madiwani....................na ccm will be back in style......................na hapo lema will know the writing is in the wall for him.........
 
Kwa taarifa tu Lema alipata kura 56,196 na Batilda kura 37,460 hizo za Batilda ni pamoja na walizochakachua, hiyo ndiyo nguvu ya bodaboda.
Signature yangu isikupe tabu mimi ni all whether nafanya kampeni kwa wachapakazi tu kama EL si vilaza kama JK.

Batilda ni chakula cha wakubwa na ndiyo maana tulimkataa...........................kwa hiyo siyo mfano mzuri wa kumpima lema..........................na batilda ndiye aliyemjenga Lema na kumpa umaarufu huku mbeleni batilda hatakuwepo na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Lema....................wamachinga kwa bahati mbaya sana siyo wa kuwategemea...............wengi wao pamoja na kujiandikisha hawapigi kura.........
 
Kwa taarifa tu Lema alipata kura 56,196 na Batilda kura 37,460 hizo za Batilda ni pamoja na walizochakachua, hiyo ndiyo nguvu ya bodaboda.
Signature yangu isikupe tabu mimi ni all whether nafanya kampeni kwa wachapakazi tu kama EL si vilaza kama JK.

kwa hiyo kama alipata hizo kura 57000+ inamaana hawezi kuzipoteza?mimi ni mmoja wa wapiga kura wa lema ningependa aendelee na vituko vyake lakini hali ya wapiga kura halisi imebadilika.madereva bodaboda nawaheshimu kwa kutoa shamrashamra na hamasi lakini amini nakwambia wapiga kura wake ni wapole na watulivu.
 
Wewe meningitis ilishakuharibu ubongo, uwezo wako wa kuchambua mambo umekuwa sifuri kabisaa.
ni kweli sina uwezo wa kuchambua mambo but nailichokieleza ni hali halisi kwenye field sio uchambuzi.uchambuzi nitawaachia kina slaa,kitila mkumbo na kubenea.
 

wapigakura tunahitaji viongozi makni na huyu lema is unfortunately not one of them...............................vurugu zisizo na mipaka is not the right way to lead this nation to the Promised Land...........
 
wapigakura tunahitaji viongozi makni na huyu lema is unfortunately not one of them...............................vurugu zisizo na mipaka is not the right way to lead this nation to the Promised Land...........

inavyoonekana huyu kijana ana kiburi na haambiliki,sasa ni wakati wa wazee wa chadema kumkalisha chini na kumwambia mambo hayaendi hivyo unavyotaka.busara iliyotumika kumtuliza shibuda na itumike sasa la sivyo dafrau litaanzia kwenye udiwani.
 
Mkuu I guess this is how far your analytical ability can go...if I may ask what facts is your analysis based on?

I am personally feeling the Chadema nonsense....................in my pocket where it hurts most........................usifikiri ninatania.............................I mean what i say and will do just that.....................it is time to punish the incompetent Chadema where it hurts them at the ballot box just the way they are hurting my balance sheet for too long now..................
 

we hate ccm more than we hate chadema...........but it is frustrating to see the lack of brain power in Chadema too...................in ccm there is a glut of consumption curses...................wamevimbiwa lakini hawako tayari kuachia ngazi na ulaji......................shame upon their wicked souls.................but Chadema instead of seizing the moment and show it is the party ready to lead.........................it takes us back to demonstrations...........................when are we going to get back to work.......................................without sustainable productivity this country is heading to a civil war............................and nobody gains there..........................
 
Kuhusu hilo la kuwapa wafuasi wake Tshs 10,000.00 hata mimi binafsi yangu haliniingii akilini lakini ndiyo inavyoaminika na vyombo vya ulinzi na usalama. Sijui wao wana ushahidi gani mpaka kufikia conclusion hiyo. Kuhusu suala la G. Lema kukataa dhamana mimi sikuona haja ya kumuuliza Nanyaro wala nani bali yeye mwenyewe Lema akiwa gerezani na majibu yake yalikuwa hivi:
  1. Anapinga uonevu unaoendelezwa na polisi dhidi ya wapiga kura wake. Akanielezea jinsi ambavyo wafuasi wake walivyokamatwa na kubambikiwa kesi wakati yeye alishatoka na kuacha shughuli nyingine zikiendelea.
  2. Kupinga Jeshi la Polisi kutumika kisiasa, kwa yeye anasema hali hii imekuwa ikimkera sana pale polisi inapotekeleza maagizo ya kisiasa ili kuivurigia CDM hususani yeye.
  3. Mwisho ni suala la OCD Zuberi Mwombeji kumtishia maisha kil mara kwamba wewe ipo siku ni lazima tukupeleke jela, sasa yeye akaona ni bora kuonyesha hisia na machungu yake aende huko polisi na serikali inapoona ni jehanamu ya dunia ili kilio chake kiende mbali zaidi. Akaniambia MR, hali saizi imekuwa mbaya sana hapa Arusha baada ya Jeshi la Polisi kukubali kutumika kisiasa!!! Hayo kwa mimi ndiyo aliyonieleza kuwa ni kilio chake cha yeye kukataa dhamana na kuamua kwenda jela baada ya kuona anaonewa hata katika mambo madogo madogo kabisa. Naomba niishie hapo, unaweza kupima kama kwenda kwake Lema kuna logic au ni upuuzi.
 

my thougts. But the guy has a point!
 

mbinu za kiustaarabu za kupambana na police brutality siyo kwenda lupango bali kwenda mahakamani na kudai haki.......................bahati nzuri mahakama zetu pamoja na ufisadi kuwepo kule lakini wanahaki wengi wanamwogopa Mungu kwa hiyo watatenda haki hasa mahakama Kuu na kuendelea.................lema is a demagogue mithali yake raila odinga na sifa za watu wa namna hii kutoa hela kwa walalahoi ili kufanikisha mradi wake wa "cheap popularity."
 
Kama wewe ni mpigakura wa Lema safari iliyopita nina mashaka nawe kabisa, iweje ushabikie makosa ya Lema badala ya kutafuta njia ya kumshauri na kuyaacha hayo yatakayomkesha kura 2015 kama Mungu akijlia? Au eleza umefanya nini na kama Lema hajakusikia kuliko kukimbilia kulaumu. Kun watu wanamlaumu JK kwa sababu kupitia system wameshauri na jamaa kadrpo ushauri na baadae hali ikawa mbaya, kwa hiyo wanalaumu kihalali na siyo kimajungu.
 
Hapa tusionyeshane misamiati ya kizungu ili tuonekane tumetoa hoja za msingi kwa wana JF.napata mashaka kwako wewe ulipost thread hii na kwa wale waliokuunga mkono.hivi chanzo cha vurugu za Arusha ni kitu gani?hivi kinachoendelea hapa nchini juu ya kamata kamata ya viongozi wa Chadema hamkioni?mfano wa karibuni sana ni Jana hapo Ubungo,polisi wamevamia mkutano uliokuwa uhutubiwe na na mbunge wa Ubungo mh John Mnyika,na ilipelekea viongozi kukamatwa na polisi kuchukua nyaraka muhimu za mbunge.kisingizio ni kwamba wamekataza mikutano kwa kuhofia Al shabab wangeweza kufanya shambulio,
Kwa kutumia mfano huu utaona jinsi polisi wanavyotumiwa na CCM kuvuruga amani,hivi hizo mechi mbona zimekuwa zikichezwa ikiwepo ya simba na yanga?je kumbi za starehe mbona zinaendelea?sasa leo mnapokuja na vizungu vyenu mkitumia misamiati kuonyesha mmbobea kwa liugha na kutueleza ya kuwa Lema ndio chanzo cha vurugu za Arusha mimi siwaelewi,mnaposema angeangalia namna ya kuepuka,namna ipi angeepuka si mtuambie?mtu kila kukicha anatishiwa maisha na usalama wa taifa na hao polisi kila kukicha wanamwambia watampeleka jela,kosa ni CCM kulipoteza jimbo,hivi mnadhani Lema ni taahira kiasi hicho hajui kama anatakiwa afanye kile alichokiahidi ili aweze ku-retain jimbo uchaguzi ujao,au mnadhani vurugu kwake ndo ana-benefit?angalieni vizuri chanzo cha vurugu ni nini na kuzimaliza vurugu za arusha ni CCM kukubali kwamba Arusha walishaipoteza kama jimbo,hivyo wasubiri 2015 ama vinginevyo kwa mapenzi ya mungu.leo factors zote zinzzopelekea vurugu za Arusha hamzizungumzi,na zingine ni aibu,mpaka waziri mkuu aliwahi kutoa mawazo yenye kuchochea vurugu hizo,Mkuchika nae vivyo hivyo na wengine wengi tu.leo mnapomlaumu Lema na kmuona mpenda fujo mi naona nanyi ni sehemu ya tatizo.hebu leo CCM wakubali wamepoteza jimbo na taratibu zote zifuatwe kwa mjibu wa sheria uone kuna tokea vurugu gani Arusha,na Lema ataongozaje maendeleo sehemu ambayo haina amani?inabidi apiganie kurejesha amani kwanza.na kwa mjibu huyo alieuliza kwanini alikataa dhamana ajipange kesho asikilize atakapokuwa anauambia umma,kwanini aliamua kwenda gerezan.
kama sio mwanamabadiliko usinasibuna vizungu hapa iliuonekane una hoja za msingi kumbe uahitaji ukombozi wa kifikra.
 
Ruta imani ni kuwa na hakika ya mambo yatajiwayo na tena yasiyoonekana ni bayana na kweli! Sasa, inawezekana kwa imani ya Lema kwenda mahakamani ni kupoteza muda na kumpigia mbuzi gitaa. Labda kwenda jela kunaweza kuushitusha umma wa wapenda haki.
 
Ruta imani ni kuwa na hakika y mambo yatajiwayo na tena yasiyoonekana ni bayana na kweli! Sasa, inawezekana kwa imani ya Lema kwenda mahakamani ni kupoteza muda na kumpigia mbuzi gitaa. Labda kwenda jela kunaweza kuushitusha umma wa wapenda haki.
Kwenda jela kweli kubnaweza kushtusha umma. Ila mkubali, hili la lema halijasleta mvuto, hakwa watu wasiopenda siasa u wananchi wa kawaida, imewaudhi ndugu zangu wanaotaka kupeleka maziwa uzunguni ili waendelee a maisha yao. Siasa hizi ni sawa na za mtikila enzi hizo.
 
unaonekana wewe ni kilaza,kimba unafikiri kwa kutumia masaburi.your IQ is very low! Mungu alijichosha kukupa ubongo ambao hata huutumii.Eti mwenyewe unaona umeandika point saana.Kumbe bure kabisa watu kama nyie ni janga kitaifa.Nilitaka nikujibu ila haitasaidia nikuache na swali moja tu.Cuf wamekimbilia muafaka ilikumaliza mgogoro je wamepata nini? Je wazanzibar walitaka amani ya kupumbaza kama hii? Je atakae walilia wazanzibar na kuukosoa uozo uliopo serekalini ninani?
 
zanzibar inaendelea au la?kenya je?
 
Uandishi wako umeegemea zaidi kwenye mapenzi yako binafsi kuliko uhalisia.Tatizo kubwa ni kutokujua mambo halafu kutokukubaliana na ukweli kwamba huyajui mambo."Chadema has made some serious political miscalculations" Hii ni sentence uliyoandika wewe ,sijui umeipitia kabla ya kuipost ama ulikuwa unajaribu kuunganisha sentence za kizungu ili uonekane una maneno ya kutosha ya kizungu!..Nimeshangaa unatoa conclusion ya jambo ambalo hujalifanyia utafiti,licha ya utafiti ni kuwa huna chanzo za hii stetement.
Umejitahidi kuandika kingereza kizuri nisikubanie ila ulichokiandika kama ungejipanga na kubadili style ya uandishi hoja ingekuwa na mashiko sana.Umeandika report kutokana na mawazo yako ukijaribu kushawishi kuwa ni uhalisia

 


Unadhani nani anayechochea ugomvi huo?
 
"....his fellow tribesmen of Chagga....." This social network is for great thinkers. But I doubt your thinking faculty. May be your grey matter has turned into flesh!
Your thinking is divisive and very dangerous.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…