Arusha Politics: Why CHADEMA's popularity is waning...

Arusha Politics: Why CHADEMA's popularity is waning...

Uchambuzi na hisia hizi ni tofauti na hali halisi iliyoko arusha na sisi baadhi ya waarusha.

1. Wananchi ndio waliomchagua lema, hajajichagua. Kwa bahati nzuri lema amekuwa msikivu na mtekelezaji wa matarajio ya watu waliomchagua

2. Serikali toka uchaguzi uishe, ina agenda ya kumwadhibu lema na wapiga kura wake. Kwenye fizikia kuna sheria muhimili inasema "action and reaction are equal and opposite". Kisiasa kauli mbiu dunia kote masuala ya kisiasa hutatuliwa na majadiliano si mabavu (vita). Kwa hiyo dola iendelee tu na mabavu yake lakini itapambana na nguvu ile ile kupinga upuuzi huo.

3. Watu wengi wameingia kwenye mtego kuwa fulani binafsi ndiye mkorofi. Tafakuri yangu ni kwamba je huyo mtu mmoja ndiye anaathriwa na ufisadi, uchumi mbovu, utawala wa kimla, njaa, utendaji duni wa serikali? Ni mambo mengi ambayo mwenye busara atabaini kuwa sintofahamu ya maisha na utawala mbovu kwa uongozi mufilisi wa ccm yanaeleweka hata bila mtu kuhutubiwa.

4. Kweli kuna hisia tofauti tofauti ambazo ndizo msingi wa wachangiaji, lakini wengi zaidi hasa wanachi hawaishi kwa hisia au kufarijiwa kwa maneno, wanaishi kwa matumaini wanayopewa na viongozi makini. Kwa sababu hiyo suala la woga linaelekea kuyeyuka. Mwisho wake ni utekelezaji wa waraka wa lema

ngongo na wenzio bakini na hisia na matarajio ya mwanadamu kuzaa ndama

hao wananchi waliuomchagua lema na mimi nimo..........................tumechoshwa na siasa zake za ugomvi..........tunahitaji mtu wa kwenda kujenga hoja bungeni..............................Arusha tunakero nyingi na haya mapambano yake laiti kama angelitueleza kabla hajachaguliwa tungelimkataa.........................baada ya kuchaguliwa kaanzisha ajenda zake...................anti-developmental....................ishara ya kwanza ni kuwa hatutapiga kura ya madiwani....................na ccm will be back in style......................na hapo lema will know the writing is in the wall for him.........
 
Kwa taarifa tu Lema alipata kura 56,196 na Batilda kura 37,460 hizo za Batilda ni pamoja na walizochakachua, hiyo ndiyo nguvu ya bodaboda.
Signature yangu isikupe tabu mimi ni all whether nafanya kampeni kwa wachapakazi tu kama EL si vilaza kama JK.

Batilda ni chakula cha wakubwa na ndiyo maana tulimkataa...........................kwa hiyo siyo mfano mzuri wa kumpima lema..........................na batilda ndiye aliyemjenga Lema na kumpa umaarufu huku mbeleni batilda hatakuwepo na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Lema....................wamachinga kwa bahati mbaya sana siyo wa kuwategemea...............wengi wao pamoja na kujiandikisha hawapigi kura.........
 
Kwa taarifa tu Lema alipata kura 56,196 na Batilda kura 37,460 hizo za Batilda ni pamoja na walizochakachua, hiyo ndiyo nguvu ya bodaboda.
Signature yangu isikupe tabu mimi ni all whether nafanya kampeni kwa wachapakazi tu kama EL si vilaza kama JK.

kwa hiyo kama alipata hizo kura 57000+ inamaana hawezi kuzipoteza?mimi ni mmoja wa wapiga kura wa lema ningependa aendelee na vituko vyake lakini hali ya wapiga kura halisi imebadilika.madereva bodaboda nawaheshimu kwa kutoa shamrashamra na hamasi lakini amini nakwambia wapiga kura wake ni wapole na watulivu.
 
Wewe meningitis ilishakuharibu ubongo, uwezo wako wa kuchambua mambo umekuwa sifuri kabisaa.
ni kweli sina uwezo wa kuchambua mambo but nailichokieleza ni hali halisi kwenye field sio uchambuzi.uchambuzi nitawaachia kina slaa,kitila mkumbo na kubenea.
 
when macain introduced sarah palin as a vp candidate everyone was excited except the psychologists who termed this psychological event as a ''palin factor'' which would only survive for few weeks.
i think this is what is happening in arusha and probably in mbeya,Dar and Mwanza.the "chadema factor"has started waning,the lema factor has gone!
i remember one article saying ccm was tired but chadema was not ready.im afraid if this is not another NCCR of 1995?

wapigakura tunahitaji viongozi makni na huyu lema is unfortunately not one of them...............................vurugu zisizo na mipaka is not the right way to lead this nation to the Promised Land...........
 
wapigakura tunahitaji viongozi makni na huyu lema is unfortunately not one of them...............................vurugu zisizo na mipaka is not the right way to lead this nation to the Promised Land...........

inavyoonekana huyu kijana ana kiburi na haambiliki,sasa ni wakati wa wazee wa chadema kumkalisha chini na kumwambia mambo hayaendi hivyo unavyotaka.busara iliyotumika kumtuliza shibuda na itumike sasa la sivyo dafrau litaanzia kwenye udiwani.
 
Mkuu I guess this is how far your analytical ability can go...if I may ask what facts is your analysis based on?

I am personally feeling the Chadema nonsense....................in my pocket where it hurts most........................usifikiri ninatania.............................I mean what i say and will do just that.....................it is time to punish the incompetent Chadema where it hurts them at the ballot box just the way they are hurting my balance sheet for too long now..................
 
You may be right in your analysis but you haven't taken into account the waning popularity of CCM which is currently engulfed in a series of scandals and internal strife. In my opinion, CHADEMA is prospering not because people like it very much but rather because CCM has simply failed to run the nation. With the way things are it will take radical transformation of CCM to save it from its current downward spiral in popularity. Any way time will tell come 2015.

we hate ccm more than we hate chadema...........but it is frustrating to see the lack of brain power in Chadema too...................in ccm there is a glut of consumption curses...................wamevimbiwa lakini hawako tayari kuachia ngazi na ulaji......................shame upon their wicked souls.................but Chadema instead of seizing the moment and show it is the party ready to lead.........................it takes us back to demonstrations...........................when are we going to get back to work.......................................without sustainable productivity this country is heading to a civil war............................and nobody gains there..........................
 
Mkuu Mzee wa Rula.

Mkuu hili la kuwapa 10,000/= wafuasi wake sina uhakika nalo wala hakuna ushahidi wa moja kwa moja tuwasubiri wanaomtuhumu kama watakuja na ushahidi utakaokubalika mahakamani.Nimewahi kusikia mahali pikipiki zinalipwa tsh 10,000/= kwanda Kisongo kumsalimia Mheshimiwa Lema nia ni kuonyesha jinsi wananchi na wapiga kura wake wanavyomjali !.

Mkuu habari za kusikia mara nyingi sipendi kuzitilia maanani sana.Kuna jambo moja nimewahi kuwauliza mashabiki wake je kuna umuhimu wa Mheshimiwa kukataa dhamana ? Hakuna aliyetoa majibu ya maana.Je wapiga kura wake wanaridhishwa na msimamo wa mbunge wao kukaa gerezani ilihali dhamana ilikuwepo ?.Je huko kususia dhamana kutaendela mpaka lini ? au J3 atakubali dhamana na kutuletea story nyingine ?.
Kuhusu hilo la kuwapa wafuasi wake Tshs 10,000.00 hata mimi binafsi yangu haliniingii akilini lakini ndiyo inavyoaminika na vyombo vya ulinzi na usalama. Sijui wao wana ushahidi gani mpaka kufikia conclusion hiyo. Kuhusu suala la G. Lema kukataa dhamana mimi sikuona haja ya kumuuliza Nanyaro wala nani bali yeye mwenyewe Lema akiwa gerezani na majibu yake yalikuwa hivi:
  1. Anapinga uonevu unaoendelezwa na polisi dhidi ya wapiga kura wake. Akanielezea jinsi ambavyo wafuasi wake walivyokamatwa na kubambikiwa kesi wakati yeye alishatoka na kuacha shughuli nyingine zikiendelea.
  2. Kupinga Jeshi la Polisi kutumika kisiasa, kwa yeye anasema hali hii imekuwa ikimkera sana pale polisi inapotekeleza maagizo ya kisiasa ili kuivurigia CDM hususani yeye.
  3. Mwisho ni suala la OCD Zuberi Mwombeji kumtishia maisha kil mara kwamba wewe ipo siku ni lazima tukupeleke jela, sasa yeye akaona ni bora kuonyesha hisia na machungu yake aende huko polisi na serikali inapoona ni jehanamu ya dunia ili kilio chake kiende mbali zaidi. Akaniambia MR, hali saizi imekuwa mbaya sana hapa Arusha baada ya Jeshi la Polisi kukubali kutumika kisiasa!!! Hayo kwa mimi ndiyo aliyonieleza kuwa ni kilio chake cha yeye kukataa dhamana na kuamua kwenda jela baada ya kuona anaonewa hata katika mambo madogo madogo kabisa. Naomba niishie hapo, unaweza kupima kama kwenda kwake Lema kuna logic au ni upuuzi.
 
Mkuu, if you havent prospered for the past 50 years, what makes you think the orderliness you are talking here will??


Says who?


mischief?.........completely blinded by what the police force is doing against CHADEMA leaders and supporters in Arusha.

my thougts. But the guy has a point!
 
Kuhusu hilo la kuwapa wafuasi wake Tshs 10,000.00 hata mimi binafsi yangu haliniingii akilini lakini ndiyo inavyoaminika na vyombo vya ulinzi na usalama. Sijui wao wana ushahidi gani mpaka kufikia conclusion hiyo. Kuhusu suala la G. Lema kukataa dhamana mimi sikuona haja ya kumuuliza Nanyaro wala nani bali yeye mwenyewe Lema akiwa gerezani na majibu yake yalikuwa hivi: 1.0 Anapinga uonevu unaoendelezwa na polisi dhidi ya wapiga kura wake. Akanielezea jinsi ambavyo wafuasi wake walivyokamatwa na kubambikiwa kesi wakati yeye alishatoka na kuacha shughuli nyingine zikiendelea. 2.0 Kupinga Jeshi la Polisi kutumika kisiasa, kwa yeye anasema hali hii imekuwa ikimkera sana pale polisi inapotekeleza maagizo ya kisiasa ili kuivurigia CDM hususani yeye. 3.0 Mwisho ni suala la OCD Zuberi Mwombeji kumtishia maisha kil mara kwamba wewe ipo siku ni lazima tukupeleke jela, sasa yeye akaona ni bora kuonyesha hisia na machungu yake aende huko polisi na serikali inapoona ni jehanamu ya dunia ili kilio chake kiende mbali zaidi. Akaniambia MR, hali saizi imekuwa mbaya sana hapa Arusha baada ya Jeshi la Polisi kukubali kutumika kisiasa!!! Hayo kwa mimi ndiyo aliyonieleza kuwa ni kilio chake cha yeye kukataa dhamana na kuamua kwenda jela baada ya kuona anaonewa hata katika mambo madogo madogo kabisa. Naomba niishie hapo, unaweza kupima kama kwenda kwake Lema kuna logic au ni upuuzi.

mbinu za kiustaarabu za kupambana na police brutality siyo kwenda lupango bali kwenda mahakamani na kudai haki.......................bahati nzuri mahakama zetu pamoja na ufisadi kuwepo kule lakini wanahaki wengi wanamwogopa Mungu kwa hiyo watatenda haki hasa mahakama Kuu na kuendelea.................lema is a demagogue mithali yake raila odinga na sifa za watu wa namna hii kutoa hela kwa walalahoi ili kufanikisha mradi wake wa "cheap popularity."
 
kwa hiyo kama alipata hizo kura 57000+ inamaana hawezi kuzipoteza?mimi ni mmoja wa wapiga kura wa lema ningependa aendelee na vituko vyake lakini hali ya wapiga kura halisi imebadilika.madereva bodaboda nawaheshimu kwa kutoa shamrashamra na hamasi lakini amini nakwambia wapiga kura wake ni wapole na watulivu.
Kama wewe ni mpigakura wa Lema safari iliyopita nina mashaka nawe kabisa, iweje ushabikie makosa ya Lema badala ya kutafuta njia ya kumshauri na kuyaacha hayo yatakayomkesha kura 2015 kama Mungu akijlia? Au eleza umefanya nini na kama Lema hajakusikia kuliko kukimbilia kulaumu. Kun watu wanamlaumu JK kwa sababu kupitia system wameshauri na jamaa kadrpo ushauri na baadae hali ikawa mbaya, kwa hiyo wanalaumu kihalali na siyo kimajungu.
 
Hapa tusionyeshane misamiati ya kizungu ili tuonekane tumetoa hoja za msingi kwa wana JF.napata mashaka kwako wewe ulipost thread hii na kwa wale waliokuunga mkono.hivi chanzo cha vurugu za Arusha ni kitu gani?hivi kinachoendelea hapa nchini juu ya kamata kamata ya viongozi wa Chadema hamkioni?mfano wa karibuni sana ni Jana hapo Ubungo,polisi wamevamia mkutano uliokuwa uhutubiwe na na mbunge wa Ubungo mh John Mnyika,na ilipelekea viongozi kukamatwa na polisi kuchukua nyaraka muhimu za mbunge.kisingizio ni kwamba wamekataza mikutano kwa kuhofia Al shabab wangeweza kufanya shambulio,
Kwa kutumia mfano huu utaona jinsi polisi wanavyotumiwa na CCM kuvuruga amani,hivi hizo mechi mbona zimekuwa zikichezwa ikiwepo ya simba na yanga?je kumbi za starehe mbona zinaendelea?sasa leo mnapokuja na vizungu vyenu mkitumia misamiati kuonyesha mmbobea kwa liugha na kutueleza ya kuwa Lema ndio chanzo cha vurugu za Arusha mimi siwaelewi,mnaposema angeangalia namna ya kuepuka,namna ipi angeepuka si mtuambie?mtu kila kukicha anatishiwa maisha na usalama wa taifa na hao polisi kila kukicha wanamwambia watampeleka jela,kosa ni CCM kulipoteza jimbo,hivi mnadhani Lema ni taahira kiasi hicho hajui kama anatakiwa afanye kile alichokiahidi ili aweze ku-retain jimbo uchaguzi ujao,au mnadhani vurugu kwake ndo ana-benefit?angalieni vizuri chanzo cha vurugu ni nini na kuzimaliza vurugu za arusha ni CCM kukubali kwamba Arusha walishaipoteza kama jimbo,hivyo wasubiri 2015 ama vinginevyo kwa mapenzi ya mungu.leo factors zote zinzzopelekea vurugu za Arusha hamzizungumzi,na zingine ni aibu,mpaka waziri mkuu aliwahi kutoa mawazo yenye kuchochea vurugu hizo,Mkuchika nae vivyo hivyo na wengine wengi tu.leo mnapomlaumu Lema na kmuona mpenda fujo mi naona nanyi ni sehemu ya tatizo.hebu leo CCM wakubali wamepoteza jimbo na taratibu zote zifuatwe kwa mjibu wa sheria uone kuna tokea vurugu gani Arusha,na Lema ataongozaje maendeleo sehemu ambayo haina amani?inabidi apiganie kurejesha amani kwanza.na kwa mjibu huyo alieuliza kwanini alikataa dhamana ajipange kesho asikilize atakapokuwa anauambia umma,kwanini aliamua kwenda gerezan.
kama sio mwanamabadiliko usinasibuna vizungu hapa iliuonekane una hoja za msingi kumbe uahitaji ukombozi wa kifikra.
 
mbinu za kiustaarabu za kupambana na police brutality siyo kwenda lupango bali kwenda mahakamani na kudai haki.......................bahati nzuri mahakama zetu pamoja na ufisadi kuwepo kule lakini wanahaki wengi wanamwogopa Mungu kwa hiyo watatenda haki hasa mahakama Kuu na kuendelea.................lema is a demagogue mithali yake raila odinga na sifa za watu wa namna hii kutoa hela kwa walalahoi ili kufanikisha mradi wake wa "cheap popularity."
Ruta imani ni kuwa na hakika ya mambo yatajiwayo na tena yasiyoonekana ni bayana na kweli! Sasa, inawezekana kwa imani ya Lema kwenda mahakamani ni kupoteza muda na kumpigia mbuzi gitaa. Labda kwenda jela kunaweza kuushitusha umma wa wapenda haki.
 
Ruta imani ni kuwa na hakika y mambo yatajiwayo na tena yasiyoonekana ni bayana na kweli! Sasa, inawezekana kwa imani ya Lema kwenda mahakamani ni kupoteza muda na kumpigia mbuzi gitaa. Labda kwenda jela kunaweza kuushitusha umma wa wapenda haki.
Kwenda jela kweli kubnaweza kushtusha umma. Ila mkubali, hili la lema halijasleta mvuto, hakwa watu wasiopenda siasa u wananchi wa kawaida, imewaudhi ndugu zangu wanaotaka kupeleka maziwa uzunguni ili waendelee a maisha yao. Siasa hizi ni sawa na za mtikila enzi hizo.
 
Mkuu M-Mbabe.

Nakubaliana na wewe CCM wamevuruga uchumi,michezo,utamaduni,siasa,elimu na huduma za kijamii.

Tanzania inasheherekea miaka 50 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika !.Tanzania ina mito,mabwawa na maziwa lakini bado kilimo chetu kinategemea mvua ya mwenyezi Mungu !.Tanzania ina madini ya Dhahabu,Tanzanite,Almasi na madini ya vito vya aina mbali mbali lakini utashangaa madini yote hayo hayana mchango wa maana kwenye uchumi wetu !.

Tanzania ina kila kitu ambacho kama kingetumiwa kwa faida ya taifa hakika leo hii uchumi wetu ungekuwa una shindana na South Afrika.Tanzania ni masikini kwasababu imekosa siasa safi[Bora] na uongozi bora,CCM wameifikisha Tanzania hapa tulipo [umasikini].CCM imefikia hatua ya kutugawa kwa misingi ya dini ili iendelee kubakia madarakani ebu rejea uchaguzi wa Igunga badala ya kuinadi ilani yao ya uchaguzi CCM ilijikita zaidi kuelezea Hijjab !.Ilihakikisha inawatumiwa viongozi wa dini wenye njaa kali na wasiokuwa na maadili kuwavuruga wapiga kura bila kujali mustakabali ya nchi.

CDM lazima waje na siasa zenye majibu yote ya niliyoyaeleza hapo juu bahati mbaya mpaka sasa sijaona mkakati zaidi ya muendelezo wa makosa yale yale wanayofanya CCM "kudanganya wananchi".Unapokuwa na viongozi wanaohamashisha migomo ya daladala kwa nia ya kujiongozea umaarufu wa kisiasa na si kutatua kero za wananchi hakika siwezi kushangilia hata kidogo eti labda nishangilie kwasababu anayetudanganya ni mwanasiasa wa chama cha upinzani ?.
unaonekana wewe ni kilaza,kimba unafikiri kwa kutumia masaburi.your IQ is very low! Mungu alijichosha kukupa ubongo ambao hata huutumii.Eti mwenyewe unaona umeandika point saana.Kumbe bure kabisa watu kama nyie ni janga kitaifa.Nilitaka nikujibu ila haitasaidia nikuache na swali moja tu.Cuf wamekimbilia muafaka ilikumaliza mgogoro je wamepata nini? Je wazanzibar walitaka amani ya kupumbaza kama hii? Je atakae walilia wazanzibar na kuukosoa uozo uliopo serekalini ninani?
 
unaonekana wewe ni kilaza,kimba unafikiri kwa kutumia masaburi.your IQ is very low! Mungu alijichosha kukupa ubongo ambao hata huutumii.Eti mwenyewe unaona umeandika point saana.Kumbe bure kabisa watu kama nyie ni janga kitaifa.Nilitaka nikujibu ila haitasaidia nikuache na swali moja tu.Cuf wamekimbilia muafaka ilikumaliza mgogoro je wamepata nini? Je wazanzibar walitaka amani ya kupumbaza kama hii? Je atakae walilia wazanzibar na kuukosoa uozo uliopo serekalini ninani?
zanzibar inaendelea au la?kenya je?
 
Uandishi wako umeegemea zaidi kwenye mapenzi yako binafsi kuliko uhalisia.Tatizo kubwa ni kutokujua mambo halafu kutokukubaliana na ukweli kwamba huyajui mambo."Chadema has made some serious political miscalculations" Hii ni sentence uliyoandika wewe ,sijui umeipitia kabla ya kuipost ama ulikuwa unajaribu kuunganisha sentence za kizungu ili uonekane una maneno ya kutosha ya kizungu!..Nimeshangaa unatoa conclusion ya jambo ambalo hujalifanyia utafiti,licha ya utafiti ni kuwa huna chanzo za hii stetement.
Umejitahidi kuandika kingereza kizuri nisikubanie ila ulichokiandika kama ungejipanga na kubadili style ya uandishi hoja ingekuwa na mashiko sana.Umeandika report kutokana na mawazo yako ukijaribu kushawishi kuwa ni uhalisia

For the first time in Arusha politics, ccm is smelling blood of victory....the real reason behind ccm new impetus is that Chadema has made some serious political miscalculations....underestimating the average voter's pertinent needs in Arusha Municipality.

here are some of Chadema's political gaffes..

1) Chadema think anti-ccm runs too deep that whatever chadema national leaders say voters will jump at it without expressing a desire for interactive dialogue...ccm via Lowassa did the same in 2010 parliamentary elections....and the disastrous electoral verdict is there for everyone to see...Arusha voters have the mind of their own too...that is lesson number one..

2) Arusha Municipality is a merchant city....growing on an environment of orderliness...the city can hardly endure Lema's political mischief for too long...with lema testing and stretching our limits of tolerance when he decided to stay behind bars and urging us to coalesce around him...that colossal stupidity had backfired before his eyes...for hardly a day even his fellow tribesmen of Chagga could hardly sustain the shuttle buses' strike for a day as the realities of astronomical cost of living in Arusha began to take its devastating toll....the lesson number two we vote for whoever we calculate will advance our personal causes and Chadema at the moment is misreading our collective political resolve....It is time we tell Lema, at the ballot box-of course, he does not own Arusha and never will...we sent him to legislate in the Augusta House not to be a rabble-rousing pedestrian or a belligerent demagogue....we have those losers among us in our streets but we do not send them to the House for that matter....

3) Learning from past by-elections voter turn out is hardly a third of the general election turnout...voter fatigue and apathy seems to be the in-thing favouring ccm in many ways...only ccm fanatical followers do turn-up and vote but Chadema ends up with huge non-voting attendances....which time and time again have proved futile in changing the course...of our political complexion.....lesson number three....expect only less than 40, 000 to turn up in the envisaged by-elections and ccm will snuff out most of the 3 to 4 Ward Councillors now up for grab....in a way that will be good pragmatism...Arusha demands orderliness to prosper and Chadema is not yet ready to provide her with that bubbling quest....at the moment permits for development projects have all but come to a standstill...the real reason is Chadema's refusal to listen to an average voter's needs....that unless municipal Council continues to work in orderly manner....jobs will not be created particularly in the construction industry....and the Arusha economy decimated by low yields in agricultural, tourism and mining sectors can hardly afford....anymore disruptions unless of-course we are stupidly determined to fail as a society....

4) After Chadema have been routed at the ballot box despite attracting huge public rallies: and, may be those at the national level will begin earnestly to ask us the BIG QUESTION....what are our aspirations...I am not alone when I say since I can not vote for ccm with a clean conscience; for then, by abstaining in the incoming by elections is my best communicative means of punishing both ccm and Chadema for just one tantrum....behaving like Siamese twins......

that is how I feel what about you?
 
Maneno mazito sana mkuu wangu.Tatizo hapa JF wapo wanaukumbi wameweka ushabiki mbele hawataki kuangalia hali halisi hakuna ubishi wananchi wengi hasa wafanyakazi wa kada mbali mbali wameanza kuhoji kama ilikuwa busara kumchagua mbunge Mheshimiwa Lema.Siasa za vurugu na magomvi yasiyoisha imekuwa sehemu ya utaratibu wa wakazi wa Arusha.



Unadhani nani anayechochea ugomvi huo?
 
"....his fellow tribesmen of Chagga....." This social network is for great thinkers. But I doubt your thinking faculty. May be your grey matter has turned into flesh!
Your thinking is divisive and very dangerous.

 
Back
Top Bottom