Arusha Politics: Why CHADEMA's popularity is waning...

For the first time in Arusha politics, ccm is smelling blood of victory....the real reason behind ccm new impetus is that Chadema has made some serious political miscalculations....underestimating the average voter's pertinent needs in Arusha Municipality.

here are some of Chadema's political gaffes..

1) Chadema think anti-ccm runs too deep that whatever chadema national leaders say voters will jump at it without expressing a desire for interactive dialogue...ccm via Lowassa did the same in 2010 parliamentary elections....and the disastrous electoral verdict is there for everyone to see...Arusha voters have the mind of their own too...that is lesson number one..

2) Arusha Municipality is a merchant city....growing on an environment of orderliness...the city can hardly endure Lema's political mischief for too long...with lema testing and stretching our limits of tolerance when he decided to stay behind bars and urging us to coalesce around him...that colossal stupidity had backfired before his eyes...for hardly a day even his fellow tribesmen of Chagga could hardly sustain the shuttle buses' strike for a day as the realities of astronomical cost of living in Arusha began to take its devastating toll....the lesson number two we vote for whoever we calculate will advance our personal causes and Chadema at the moment is misreading our collective political resolve....It is time we tell Lema, at the ballot box-of course, he does not own Arusha and never will...we sent him to legislate in the Augusta House not to be a rabble-rousing pedestrian or a belligerent demagogue....we have those losers among us in our streets but we do not send them to the House for that matter....

3) Learning from past by-elections voter turn out is hardly a third of the general election turnout...voter fatigue and apathy seems to be the in-thing favouring ccm in many ways...only ccm fanatical followers do turn-up and vote but Chadema ends up with huge non-voting attendances....which time and time again have proved futile in changing the course...of our political complexion.....lesson number three....expect only less than 40, 000 to turn up in the envisaged by-elections and ccm will snuff out most of the 3 to 4 Ward Councillors now up for grab....in a way that will be good pragmatism...Arusha demands orderliness to prosper and Chadema is not yet ready to provide her with that bubbling quest....at the moment permits for development projects have all but come to a standstill...the real reason is Chadema's refusal to listen to an average voter's needs....that unless municipal Council continues to work in orderly manner....jobs will not be created particularly in the construction industry....and the Arusha economy decimated by low yields in agricultural, tourism and mining sectors can hardly afford....anymore disruptions unless of-course we are stupidly determined to fail as a society....

4) After Chadema have been routed at the ballot box despite attracting huge public rallies: and, may be those at the national level will begin earnestly to ask us the BIG QUESTION....what are our aspirations...I am not alone when I say since I can not vote for ccm with a clean conscience; for then, by abstaining in the incoming by elections is my best communicative means of punishing both ccm and Chadema for just one tantrum....behaving like Siamese twins......

that is how I feel what about you?


baada ya kumaliza kusoma nimegundua wewe ni mgonjwa haswa na Elimu yako ta Kata haijakusaidia jipange
 
Yote kwa yote Lema is very strong na hii inatokana na Polisi wanavyomfanyia hivyo anapata huruma za wananchi na wanasiasa wanavyompakazia ndiyo wanavyompa daraja la juu
Namfananisha lema na silaha hatari za maangamizi!zitumika kwa umakini huleta maangamizi kwa adui lakini tukishindwa kuzidhibiti madhara yanakuwa makubwa kwa mmiliki wake.

Nadhani chadema ina wazee na wasomi wazuri tuu wenyeuwezo wa kumshawishi,kumdhibiti na kumuelimisha lema jinsi ya kuendesha siasa. Anatumia mbinu za kizamani sana kuendesha siasa.sioni usahihi wa kuiga mbinu za mandela kwani sasa hivi hatupambani na ukoloni au ubaguzi wa rangi.haya manjonjo anayotumia lema ni kitu kidogo kwa wakongwe ndani ya ccm.

Nimalizie kwa kumwambia mjukuu wangu lema ya kwamba "unapokatia kuni wenzako walishachuna kamba"
 
Mzee wa Rula heshima mbele.

Mkuu nakubaliana na wewe kwamba Polisi wanamchango mkubwa sana katika vurugu zinazoendela Arusha lakini pia Lema kama mbunge alitakiwa kutumia akili na busara za kawaida kuzikwepa.

Mara kadhaa Mheshimiwa Lema ameshindwa kutumia akili na busara za kawaida kuendesha siasa zake kwa mfano suala la yeye kufanya maandamano na mikutano bila kibali angeweza kulikwepa kabisa lakini ni yeye mwenyewe aliyehamashisha vijana kumsindikiza mahakamani kwenye kesi yake,kesi inapohairishwa anaandamana na vijana toka mahakamani hadi ofisini kwake wakati mwingine anakwenda kufungua matawi na kuizungumzia kesi yake kwenye mikutano yake?
Ngongo naomba nikuulize ni nchi gani Africa ambapo kuna siasa za uwazi na ukweli? Tumeona katika nchi nyngi za Kiafrica polici wanakandamiza wapinzani kwa kisingizio cha vurugu. Kwanini serilikali isisuluhishe tatizo la Arusha kuliko nyinyi watanzania kudhani kuwa Lema na Chadema wanapoteza umashuhuri.

Serikali wanauwezo wa kumaliza tatizo la Arusha. Mbona waliweza huko kwa Zitto Miaka ya nyuma? Mimi sidhani wanapoteza umashuhuri ila serikali inapoteza umashuhuri na itabaki kutumia nguvu iliiweze kuongoza. Usitegemee kuwa kuna Mtu atakupa haki yako eti wewe unatumia busara sana. Lazima tukubaliane kwamba busara imetumika sana hadi lema kaamua hivyo.

Katika siasa haya yanayotokea Arusha lazima yatokee ili mabadiliko yaje. Cha msingi hata kama wewe ni wa CCM tafadhali tuungane ili tupinge ukandamizaji wa aina yeyote hapa kwetu. Watanzania najua ni waoga sana na ni wepesi kutishika na kuamini viongozi wa srikari ambao mara nyingi ni waongo.

Lakini nakuambia uvumilivu huu utaisha tu na sijui utamlaumu Lema au nani.
 
We trust and believe Mh lema,always shows he is hard worker and the one who fights for people of Arusha and all Tanzanian.The problem is that CCM They do not want to accept that, people of Arusha they dn't them.So always they plan and using the methods of creating conflicts and supported by police whose now days is part and parcel of interest of CCM in ambition of destroying CHADEMA and to gain their popularity which loosed for long time,
 
ukweli ni kwamba watu wameanza kuchoshwa na mgogoro usiokwisha.

Maneno mazito sana mkuu wangu.Tatizo hapa JF wapo wanaukumbi wameweka ushabiki mbele hawataki kuangalia hali halisi hakuna ubishi wananchi wengi hasa wafanyakazi wa kada mbali mbali wameanza kuhoji kama ilikuwa busara kumchagua mbunge Mheshimiwa Lema.Siasa za vurugu na magomvi yasiyoisha imekuwa sehemu ya utaratibu wa wakazi wa Arusha.

Mzee Ngongo & co. watu wanaohoji ni wepi hao au ni wewe na Batilda? kama mnadhani watu wa Arusha wamemchoka Lema jibu lenu mtalipata kesho kwenye mkutano NMC. Anachokifanya Lema ndiyo siasa kwenye uwanja wa siasa kama huna watu (wapenzi na wafuasi) hata kama ukiwa mstaarabu kiasi gani hufai tafuta kazi za ofisini ujifungie wewe na sekretari wako.
 
Mzee Ngongo & co. watu wanaohoji ni wepi hao au ni wewe na Batilda? kama mnadhani watu wa Arusha wamemchoka Lema jibu lenu mtalipata kesho kwenye mkutano NMC. Anachokifanya Lema ndiyo siasa kwenye uwanja wa siasa kama huna watu (wapenzi na wafuasi) hata kama ukiwa mstaarabu kiasi gani hufai tafuta kazi za ofisini ujifungie wewe na sekretari wako.

nashauri lema asifanye mkutano wowote pale NMC kwa sasa ari ya wananchi iko chini.kama unabisha utajikuta unapoteza washabiki wastaarabu kama vile wafanyakazi na wanafunzi wa vyuo badala yake utabakiwa na waendesha bodaboda ambao hawapigi kura.pumzika kwanza ili umalizane na kesi na upange mikakati ya maendeleo ya jimbo lako.
 
I never knew that tourism industry is stagnant...otherwise you prove ur assumption here...how has tourism industry gone down in Arusha? What has Arusha got to do with those individuals with names starting with Ruta, Muta, Ishe?

Are they all CCM agents? Try to understand the people there and believe me they know what they are doing! most of u people support CCM cause u believe u will take over 2015!

But believe me CCM is taking u guys for granted!
 
kwahiyo, Tuwaache CCM wafanye wakitakacho.....!?
kama mnawabana ccm fanyeni hivyo mara moja na kwa nguvu kubwa,muda wa watu kuwavumilia unayoyoma.
tusipende kupamba mambo hapa jukwaani labda crashwise useme ukweli pamoja na kugawa vipeperushi vya kuhamasisha mgomo responce ilikuaje?that is just one sign that people of arusha are no longer interested in maandamano na migomo isiyokwisha.
 
when macain introduced sarah palin as a vp candidate everyone was excited except the psychologists who termed this psychological event as a ''palin factor'' which would only survive for few weeks.
i think this is what is happening in arusha and probably in mbeya,Dar and Mwanza.the "chadema factor"has started waning,the lema factor has gone!
i remember one article saying ccm was tired but chadema was not ready.im afraid if this is not another NCCR of 1995?

masaburi at work!
 
nashauri lema asifanye mkutano wowote pale NMC kwa sasa ari ya wananchi iko chini.kama unabisha utajikuta unapoteza washabiki wastaarabu kama vile wafanyakazi na wanafunzi wa vyuo badala yake utabakiwa na waendesha bodaboda ambao hawapigi kura.pumzika kwanza ili umalizane na kesi na upange mikakati ya maendeleo ya jimbo lako.
Sielewi ushauri wako una maana gani, kama ari ya wananchi iko chini si itaonekana kesho kwenye mkutano ku-prove right or wrong? Kwenye siasa huwa hatutafuti wanachama wastaarabu tu tunatafuta wanachama hasa wale wenye matatizo kama hao waendesha bodaboda, afterall asilimia kubwa ya watanzania ni vijana wa aina hiyo ya waendesha bodaboda kwa hiyo kuwakataa watanzania hao ni kukifanya chama kibaki na wazee kosa ambalo linafanywa na CCM, nakushauri tu wewe na Ngongo msipotee baada ya mkutano wa kesho.
 
feedback mjukuu wangu wewe ni mtundu mno!signature yako inaonyesha wewe ni mfuasi wa lowassa sasa unachotaka kuona ni aibu itakayowakumba chadema hapo NMC ili ccm wapate pa kuanzia.waendesha bodaboda hawapigi kura,kura zinapigwa na kina mama,wazee,wanachuo na wafanyakazi.kwa hiyo kama unataka ushindi unatakiwa ku-target hii population.
 
feedback mjukuu wangu wewe ni mtundu mno!signature yako inaonyesha wewe ni mfuasi wa lowassa sasa unachotaka kuona ni aibu itakayowakumba chadema hapo NMC ili ccm wapate pa kuanzia.waendesha bodaboda hawapigi kura,kura zinapigwa na kina mama,wazee,wanachuo na wafanyakazi.kwa hiyo kama unataka ushindi unatakiwa ku-target hii population.
Kwa taarifa tu Lema alipata kura 56,196 na Batilda kura 37,460 hizo za Batilda ni pamoja na walizochakachua, hiyo ndiyo nguvu ya bodaboda.
Signature yangu isikupe tabu mimi ni all whether nafanya kampeni kwa wachapakazi tu kama EL si vilaza kama JK.
 
Maneno mazito sana mkuu wangu.Tatizo hapa JF wapo wanaukumbi wameweka ushabiki mbele hawataki kuangalia hali halisi hakuna ubishi wananchi wengi hasa wafanyakazi wa kada mbali mbali wameanza kuhoji kama ilikuwa busara kumchagua mbunge Mheshimiwa Lema.Siasa za vurugu na magomvi yasiyoisha imekuwa sehemu ya utaratibu wa wakazi wa Arusha.

Tunafahamu kuwa wewe Ngongo unachuki binafsi dhidi ya shujaa na mpenda haki mheshimiwa Lema, kwa hiyo usitutumie sisi wafanyakazi kama ngao yako dhidi ya chuki zako. Siasa za chuki na magomvi hazianzishwi na kamanda Lema pale Arusha, chanzo cha siasa hizo ni wewe mnafiki mkubwa Ngongo na makuadi wenzako mapolisi hasa OCD wa Arusha mjini. Wanaarusha na hasa vijana wamechoshwa sana na tabia zenu za kujipendekeza kwa CCM kwa gharama ya wananchi. Mkiacha ushenzi wenu huo Arusha itakuwa kituo cha amani na maendeleo. Washenzi wakubwa nyie.
 
Uchambuzi na hisia hizi ni tofauti na hali halisi iliyoko arusha na sisi baadhi ya waarusha.

1. Wananchi ndio waliomchagua lema, hajajichagua. Kwa bahati nzuri lema amekuwa msikivu na mtekelezaji wa matarajio ya watu waliomchagua

2. Serikali toka uchaguzi uishe, ina agenda ya kumwadhibu lema na wapiga kura wake. Kwenye fizikia kuna sheria muhimili inasema "action and reaction are equal and opposite". Kisiasa kauli mbiu dunia kote masuala ya kisiasa hutatuliwa na majadiliano si mabavu (vita). Kwa hiyo dola iendelee tu na mabavu yake lakini itapambana na nguvu ile ile kupinga upuuzi huo.

3. Watu wengi wameingia kwenye mtego kuwa fulani binafsi ndiye mkorofi. Tafakuri yangu ni kwamba je huyo mtu mmoja ndiye anaathriwa na ufisadi, uchumi mbovu, utawala wa kimla, njaa, utendaji duni wa serikali? Ni mambo mengi ambayo mwenye busara atabaini kuwa sintofahamu ya maisha na utawala mbovu kwa uongozi mufilisi wa ccm yanaeleweka hata bila mtu kuhutubiwa.

4. Kweli kuna hisia tofauti tofauti ambazo ndizo msingi wa wachangiaji, lakini wengi zaidi hasa wanachi hawaishi kwa hisia au kufarijiwa kwa maneno, wanaishi kwa matumaini wanayopewa na viongozi makini. Kwa sababu hiyo suala la woga linaelekea kuyeyuka. Mwisho wake ni utekelezaji wa waraka wa lema

ngongo na wenzio bakini na hisia na matarajio ya mwanadamu kuzaa ndama
 
Namfananisha lema na silaha hatari za maangamizi!zitumika kwa umakini huleta maangamizi kwa adui lakini tukishindwa kuzidhibiti madhara yanakuwa makubwa kwa mmiliki wake.

Nadhani chadema ina wazee na wasomi wazuri tuu wenyeuwezo wa kumshawishi,kumdhibiti na kumuelimisha lema jinsi ya kuendesha siasa. Anatumia mbinu za kizamani sana kuendesha siasa.sioni usahihi wa kuiga mbinu za mandela kwani sasa hivi hatupambani na ukoloni au ubaguzi wa rangi.haya manjonjo anayotumia lema ni kitu kidogo kwa wakongwe ndani ya ccm.

Nimalizie kwa kumwambia mjukuu wangu lema ya kwamba "unapokatia kuni wenzako walishachuna kamba"

Mkuu hiyo ID yako umemaanisha?
 
Mkuu, umenena lililo jema.
Ngongo na wengine mtuambie kipi mkipendacho nyie....siasa za chiligati hizo.
zile siasa za kinyume chake zimetufikisha wapi kwa miaka 50 hii yote?

let's get ourselves out of that stinking box, for once!
 
Mkuu Rutashubanyuma, you wrote so much and so many illusive things. Of all I liked one sensible phrase "that is how I feel what about you? " I believe you didn't do any investigation to jot down the conclusion about CHADEMA or any other opposition political party in Arusha municipality. Let's wait and see, the ballot box will tell when the moment comes.

tatizo lako ni kuwa chdema is god to you.......................kwahiyo hawawezi kufanya makosa..................well they are not god to me, at least na hii by-election ndiyo itawaumbua..................................mengine uliyayaongea hayana mashiko wala michanganuo kwa hiyo saioni cha kuongezea hapo......................but as it stands chadema is going to nowhere................labda wabadilishe uongozi wa juu
 
Back
Top Bottom