========Ratiba
Tarehe 12.1.2012 Themi
Tarehe 13.1.2012 Olorien
Tarehe 14.1.2012. Olasit
Tarehe 15.1.2012. Terati
Mkuu,Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, send him to the cemetery.
!
Mkuu mbona zipo sana tu wasiliana na Nanyaro Ephata zinapatika kwenye ofisi ya Chadema wilaya (Ngarenaro).Crashwise, hayo magwanda yanauzwa duka gani hapa mjini?...Watu wengi wanayaulizia, maana wamechoka kufichaficha hisia zao za kiitikadi na kimtizamo!
Sema kama yanapatikana pale NAMVUA complex!..itakuwa pia nichanzo kizuri cha mapato ya matawi ya chama!
Mkuu,
You mean Just putting a hand on you, could make someone be sent to cemetery?...what type of hand are you talking about?
Nimeamua kuanzisha thread inayohusu kampeni ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Arusha mjini inayo julikana kama "Oparesheni zika CCM jenga Chadema" ambayo mpaka sasa wameshafanya mikutano kwenye kata tatu kati ya kumi na tisa na siku ya leo watakuwa kata ya Daraja mbili. Pamoja na kukusanya kero mbalimbali zilizoko kwa wananchi pia Oparesheni hii nikujenga chama...Mikutano hii imekuwa na mahudhurio makubwa sana hii inaonyesha wananchi wa Arusha wanaimani kubwa sana na CHADEMA.
Tuendelee kujuzana kitakachokuwa kinatokea kwenye mzunguko wa kata zote 19.
View attachment 45110View attachment 45111View attachment 45112
Picha wakazi wa kata ya Kimandolu wakifatilia mkutano chadema
View attachment 45102View attachment 45103View attachment 45104View attachment 45105
Picha za mkutano wa kata ya Kaloleni wakisikiliza kwa umakini kabisa kamanda Godbless Lema.