Arusha: Operation zika CCM, jenga CHADEMA

Chadema imebakisha maneno ya mipasho eti Operation zika CCM hawa jamaa bana wanavuta sana Bangi na kutafuna mirungi.
 
Kila mara humu JF naulizia ahadi za Lema, za Machinga Complex mbili pamoja na Hospitali..

Pro-Chadema JF wananitukana wanasema Lema, hajawahi kutoa ahadi hizo kwanza sio kazi ya mbunge.

Nashukuru Lema, mwenyewe kaweka wazi, hizo ni ahadi zake kwa hiyo nyie wapambe msiwe mnajifanya kumjibia Lema.

Kwa hiyo lini huo mradi wa Machinga Complex mbili na Hospitali utakuwa tayari?
 
Ujenzi wa machinga complex moja eneo la soko kuu upo mbioni. Wafanyabiashara wa pale wameshapewa notice.
 
Tulichokuwa tuna kikataa ni barabara za juu nakumbuka uling'ang'ana eti Lema aliahidi kujenga barabra za juu kituambacho si kweli na pili si complex mbili utakuwa una msemea...angalau Lema kasha nunua uwanja mambako atajenga Hospitali bado Kikwete ahadi zake au niziweke hapa...
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
haya ni majibu tosha kwa lowassa. Nguvu ya umma ina sura nyingi na si maandamano tu kama anavyotaka wanakigoma waamini
 
chadema mnaboa bana magwanda hayapatikani ingekuwa mradi wa chama. Wapi magwanda dar?
 
Wakuu
Ratiba yetu ya operesheni hii inaendelea tena kesho ambapo tutakuwa Kata ya Themi,
Tarehe 13.1.2012.Olorien
14.1.2012.Olasit
15.1.2012.Terati
 
Leo kwenye mkutano wa daraja mbili,nimemsikiliza kamanda Nanyaro akifafanua kwa nini CHADEMA imepinga mswada wa katiba mpya,na akaeleza msimamo wa chama,kuwa wanaendelea kuelimisha/kutoa elimu ya uraia,kama serikali ikiendelea kuwa na shingo ngumu wataasi dhidi ya dola dhalimu...
Kuhusu ziara ya madiwani iliyotumia zaidi ya 20ml ameapa kula sahani moja na Mkurugenzi,maana hiyo ziara haina tija,na ni ubadhirifu wa mali ya umma,
 
Back
Top Bottom