Ndugu zangu Rafiki zangu, Arusha wing
Ukifika wakati kama huu unajikuta hata maneno ya kusema hamna, nilikuja Ar tarehe 20/2 na ninaondoka tarehe 20/3 kurudi Dar, mwezi mmoja umepita ndio maana nimesema Ndugu zangu rafiki zangu, mwezi si mdogo kuwasiliana na kuonana mara kwa mara mnakuwa zaidi ya marafiki.
Natanguliza
shukrani zangu za dhati kwenu kwa ukarimu wenu mlionitendea kipindi chote nilichokuwa hapa, nimezoea hali ya hewa, maji ya hapa, chakula cha hapa,mazingira ya hapa,
watu wa hapa, sehemu mbali mbali za ibada na kula bata,nimekuwa mwenyeji kwakweli.. lakini yanipasa kuviacha vyote na kurudi kwenye asili yangu jiji letu la joto DAR, masikitiko yaliyoje kwenda kuanza kuzoea joto, folen za dar wallah ntarudi
Nilifurahi sana nilipokutana nanyi hakika mko organized, japo si wote niliofanikiwa kukutana nao kutokana na ratiba zetu kupishana siyo mbaya wakati wa kurudi ntawajuza badugu zangu.
Arushaone shukrani sana kwa kufanikisha mjumuiko wa jpili na wale wote walioufanya ukawa wa furaha, Chilipo chilipo msalimie sana shemeji.
Passion Lady asante sana kwa Moves
CC,
PakaJimmy Filipo,
Mr Rocky Erickb52 Tonykp Mzee wa Rula
Preta sweetlady Blaki Womani,
Lily Flower,
marejesho Passion Lady na wengineo wote
Jiwe:lalala: