Arusha noma: Aliyekuwa diwani wa Kimandolu bwana Mallah aonja joto ya jiwe

Nguvu ya UMMA ni kitu nyingine bwana...

Chezea sharubu ya simba, chezea nguo za kijani na njano (Igunga saizi wanapigia deki) lakini usichezee nguvu ya umma...

Nguvu ya UMMA hipi unayoizongumzia? ya wabunge 23?
 
ushamba wao unjidhihirisha hata jinsi wanavyochangia humu jamvini, badala ya kujibu hoja kwa hoja; wao wanajibu hoja kwa matusi! hii ni character moja wapo ya washamba na watu waliofirisika kisera kichwani, ambao wanajihalalisha kiudini, ukabila, pamoja na ukaskazini;
 
Nimesoma mjadala huu nimegundua 2015 2tachapana kwa style hii PRO CDM VS PRO CCM tena wa2 wenye upeo mna2kanana why? Lets wait n c..damu ya m2 ni mbaya.
 
Pro-CDM JF mnamuenzi Mwalimu Nyerere kwa matusi..mnashangaza
 
Nasikitika sana kusoma matusi kwny forum ya great thinker.mungu awasameheni sana..nakuombeni kabla hamjaandika fikirini kwanza.think b4 u do,sio do then think..
 
arushaaaaaa yeeeeaaaaahhh,,, my hom town,,,, im proud to be mwana - arachuggah,,, na big up kwa wana-arachuggah wote mliokua kwenye tukio hilo maeneo ya disemba leo,,,, mmeonesha ujasiri wa hali ya juu,,, mkaikataa pesa chafu inukayo ufisadi na gamba kutoka kwa mallah,,, najua ingekua ritz apo angeipokea kwa mikono miwili, but u pipo were couregeous enaf to refuse kupokea pesa ile, japo ilikua ni halali na haki yenu, lakini kutokana na mzingira ya kupatikana kwake kutokua halali, mkaikataa,,, nimewakubali sana na ninawasihi muendelee na moyo huo huo,... Say NO to magamba,,, arachugaaahhhh standd up... Big up
 
Watu badala ya kujadili hoja matusi kibaooo. Halafu mi nashangaa watu mnatukanana hata hamfahamiani
 
Back
Top Bottom