ARUSHA: Aliyekuwa Diwani wa Kimandolu adaiwa kutolipa kodi ya mwaka mmoja na miezi mitatu; mwenye nyumba alilia Serikali

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
IMAG0289.jpg
IMAG0293.jpg

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kimandolu kupitia Chadema Grayson Ngowi, Ameingia katika Malumbano Mazito na mama Mwenye nyumba Mara baada ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba kwa mwaka moja na miezi Mitatu kiasi cha shilingi millioni Tatu na Laki sita pamoja na kumtapeli Sofa seti ya kijana wake ikiwa ni zawadi ya Arusi .

Akizungumza na vyombo vya habari kwa masikitiko makubwa Mama mwenye nyumba aliyejitambulisha kwa jina la Mama Hendry amesema diwani huyo ambaye ni mchungaji amemtesa kwa muda mrefu na kodi yake

Mama huyo ameleza kuwa Mchungaji huyo alipewa notisi ya kuhama katika nyumba yake ya miezi minne kuisha amegoma kuhama na pia kugoma kulipa fedha zake mpaka sasa

Amesema mchungaji huyo ni tapeli kwani amekuwa akimpa ahadi za mara kwa mara kulipa fedha zake lakini amekuwa akimzungusha kulipa fedha zake .

Sikuchache mchungaji huyo aliyejivua udiwani kwa tiketi ya Chadema na kutimkia Ccm mbele ya Rais Magufuli katika uwanja wa mpira shekh Amri Abed Stadium Arusha .

Mama huyo ameomba msaada kwa viongozi wa serikali akiwemo mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo pamoja na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema na Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro kuingilia kati kwani mchungaaji huyo alikuwa kiongozi mwenzao na sasa sio tena na kama kuna kiongozi aliye karibu naye amsaidie kwani amesikia amenunuliwa anapesa hivyo amlipe kodi yake,

,
IMAG0282.jpg
IMAG0283.jpg
 
View attachment 607104View attachment 607105

,View attachment 607114View attachment 607115
Chadema mtu anunuliwe asinunuliwe hangaikeni na kutatua kero za wananchi walio wengi za Elimu maji hospital umeme nk waambieni wenzenu wa chadema wanaohangaika na siasa za kitoto za diwani yupi kanunuliwa au la ni siasa za kibwege na kitoto hazitatui kero halisia za wapiga kura wenu
 
Chadema mtu anunuliwe asinunuliwe hangaikeni na kutatua kero za wananchi walio wengi za Elimu maji hospital umeme nk waambieni mabwege wenzenu wa chadema wanaohangaika na siasa za kitoto za diwani yupi kanunuliwa au la ni siasa za kibwege na kitoto hazitatui kero halisia za wapiga kura wenu

Bado tunazungumzia maji safi chama kipo madarakani toka 1961 ajabu sana hii
 
Duh! Mbona povu mkuu?
Hamna povu mkuu mimi nimeweka beseni la maji tu, povu umetoa wewe, hebu rudia kusoma hiyo habari na linganisha na ulicho andika

Mtu anadaiwa kodi ya mwaka 1 na miezi 3 hata kabla ya mpango wa ccm kuwanunua
Halafu bibi wa watu adai chake useme kanunuliwa na chadema
Hapo chini kuna barua imeambatanishwa umeisoma?
 
Soma mstari wa mwisho kwenye mada......ndio uliopelekea mimi kujibu hivyo.!
 
Chadema mtu anunuliwe asinunuliwe hangaikeni na kutatua kero za wananchi walio wengi za Elimu maji hospital umeme nk waambieni wenzenu wa chadema wanaohangaika na siasa za kitoto za diwani yupi kanunuliwa au la ni siasa za kibwege na kitoto hazitatui kero halisia za wapiga kura wenu
Anayechua kodi zetu kila siku ameshindwa kutoa huduma zote hizo. Hao Chadema watatekelezaje hayo uliyoandika hawachukui kodi zetu!?
 
Soma mstari wa mwisho kwenye mada......ndio uliopelekea mimi kujibu hivyo.!
Unataka ligi tu ambazo hazina maana sawa bibi kalipwa na Chadema amchafue diwani

Roho yako itakuwa imeridhika bila shaka
Sijui ni mchana /usiku mwema
 
Lakini si amejiunga na timu ya watu anafanana nao!Hao ndio wachungaji wa siku hizi wanachokihubiri na wanayoyatenda ni ardhi na mbingu.
 
Anayechua kodi zetu kila siku ameshindwa kutoa huduma zote hizo. Hao Chadema watatekelezaje hayo uliyoandika hawachukui kodi zetu!?
Mmm chadema wanapewa ruzuku kila mwezi mamia ya mamilioni hawajengi ofisi Ya makao makuu hata choo tu hawajengi makao makuu mtaa wa ufipa kinondoni. Wafanyakazi wa makao makuu wakijisikia kukojoa wanakojolea kuta za nyumba za jirani. Nashangaa bwana Afya na bibi Afya kinondoni kwa Nini hawajafunga ofisi za chadema makao makuu kwa kukosa vyoo Hilo huulizi bwege wewe
 
Back
Top Bottom