Arusha: Mzungu asajiliwa laini ya simu kwa dollar 1000

Arusha: Mzungu asajiliwa laini ya simu kwa dollar 1000

Jana ilikuwa kizaa zaa kwa wasajili Wa laini mjini hapa, kila Kona walikamatwa na kupelekwa polisi
 
Tatizo hujawahi kuishi na wazungu ndio maana unaweza kutunga hadithi kama hii kwa kidhani wazungu wana pesa ya mchezo.

Kwa taarifa yako wazungu kwao simu wanapewa bure na kampuni za simu na uelewe dollar 1000 ni bei ya Brand new Iphone, laptop, air ticket Dar to london.

Unapotunga habari tafita rika lako na category yako ya kushare nao huu ujinha na uvivu wa kufikiri.
Ndio maana mimi nikasema huyo mzungu ni zuzu. $1000 dunia nzima ukimwambia mtu ni bei ya simcard tu anashtuka! Mtu ambae akitaka iphone anapewa bure kwa contract plus 1000minutes free aje anunue simcard $1000?
 
Nawapenda sana nigerian wana ushirikiano sana especially wakiwa nje ya yao!..
Wabongo wengine wana visebengo sana....mzungu kapigwa changa acha akili imkae sawa hii bongo bwana
Wewe unaijuwa dollar 1000?
 
Tatizo hujawahi kuishi na wazungu ndio maana unaweza kutunga hadithi kama hii kwa kidhani wazungu wana pesa ya mchezo.

Kwa taarifa yako wazungu kwao simu wanapewa bure na kampuni za simu na uelewe dollar 1000 ni bei ya Brand new Iphone, laptop, air ticket Dar to london.

Unapotunga habari tafita rika lako na category yako ya kushare nao huu ujinha na uvivu wa kufikiri.
Wewe usifikir kila mtu Ana muda WA kufunga stori za uongo hapa, mpigie simu RPC WA Arusha Kama huamini, au Kama utanilipa chochote niweke audio ya Rpc kuthibitisha Hilo, au Kama vip wapigie Vodacom Kanda hii kuwauliza kuhusu Hilo swala,
Mimi Kama Mimi siwezi weka uongo Kama huu katika mtandao WA muhimu Kama huu hapa,
Never
 
Kama we
Wewe unaijuwa dollar 1000?
We kwako Ni kubwa jua kuwa Kuna wageni wanakuja hapa Na private jet zao na kufanya kufuru za kufa mtu, usibishe jombaa, Kule vinyago (Masai market) wazungu huuziwa kanga doti moja hadi laki tatu Na wanatoa bila shida
 
Ndio maana mimi nikasema huyo mzungu ni zuzu. $1000 dunia nzima ukimwambia mtu ni bei ya simcard tu anashtuka! Mtu ambae akitaka iphone anapewa bure kwa contract plus 1000minutes free aje anunue simcard $1000?
Ndio ujuwe hii ni habari ya kutunga nimeishi na hawa watu kwa muda mrefu nawajuwa vyema, tena mzungu anayesajili line maana yake ni mkazi na yupo well informed na mambo mengi.

Si kila mzungu unayemuona ni mtalii.
 
Back
Top Bottom