ARUSHA: Mwisho wa kutembea saa nne Usiku

Mkali popote

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
633
Reaction score
340
Wakuu,

Nilibahatika kwenda kwenye mkutano leo nikamsikia mkuu wa wilaya ya Arumeru akisema mwisho wa kutembea ni saa nne usiku. Yaani mpaka kufikia saa tano asionekane raia yeyote zaidi ya askari polisi.

Huku akimsisitiza mkuu wa polisi "nadhani umenielewa" Hii imekaaje kihaki za raia wadau.
 
Curfew!
Cc Nyani Ngabu
 
Hii ni reflection ya jinsi gani taifa letu kupitia awamu ya tano limeingiliwa na aina ya watu primitive ambao bahati mbaya wamepewa madaraka.
Kimsingi tunarudi nyuma kwa kasi ya hali ya juu mno. Hawa watu upeo wao hauzidi urefu wa pua zao.
 
Kuna aina ya watu wakipata madaraka mtawakoma!..wanaopenda kujionesha na sifa
 
Back
Top Bottom