lameckkawawa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 944
- 665
Hapa ndo napataga tabu nini kimetokea hadi tunza kuwapangi watu namna ya kuishi naona nchi imekuwa ya matamko kila kiongozi anatoa yakwake mpaka sasa sijui tunaelekea wapi
Viwanda vya ujingaKaazi kweli kweli hiyo ndo nchi ya viwanda.
Wakuu,
Nilibahatika kwenda kwenye mkutano leo nikamsikia mkuu wa wilaya ya Arumeru akisema mwisho wa kutembea ni saa nne usiku. Yaani mpaka kufikia saa tano asionekane raia yeyote
zaidi ya askari polisi.
Huku akimsisitiza mkuu wa polisi "nadhani umenielewa" Hii imekaaje kihaki za raia wadau.
Viwanda vya gongo labda.Viwanda vya ujinga
hata hiyo amri kutolewa kwa Arusha ikiishafika kuanzia saa tatu, unaweza kujikuta uko mwenyewe barabarani,watu waliishazoea hivyo kutokana na matukio ya kiujambazi kwa mji huo, kwa wanaoish Arusha wanalijua hilo.....sio kila kitu serikali serikaliWakuu,
Nilibahatika kwenda kwenye mkutano leo nikamsikia mkuu wa wilaya ya Arumeru akisema mwisho wa kutembea ni saa nne usiku. Yaani mpaka kufikia saa tano asionekane raia yeyote zaidi ya askari polisi.
Huku akimsisitiza mkuu wa polisi "nadhani umenielewa" Hii imekaaje kihaki za raia wadau.
Ukitoka moshi saa nne ikikukuta tengeru unalala hapohapo. Hahahaha Tanzania ya viwanda ni viroja haswa.Viwanda vya gongo labda.