Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Hana mamlaka ya kutoa kauli kama hiyo, amekurupuka lakini tusisahau kwamba tuko kwenye zama za kukurupuka anajua atatoa kauli kama hii na hakuna atayemkaripia huyu kwa kutoa kauli ambayo hastahili kuitoa. Mwenye kustahili kuitoa kauli hii ni Magufuli na lazima atangaze sababu za kuweka curfew, au huyu DC labda kapata kibali kutoka Ikulu cha kuzuia watu kuwepo barabarani baada ya saa nne za usiku.
Shukran NBA corespondent...