ARUSHA: Mwisho wa kutembea saa nne Usiku

ARUSHA: Mwisho wa kutembea saa nne Usiku

Aisee kama Ni kweli basi inasikitisha sana. Sasa sisi wenye magenge Yetu Ya chips sijui tutaishije
 
Why cant we roam
This open country
Why cant we be what we wanna be
We want to be free
10 oclock, Road block
Curfew
 
Wakuu,

Nilibahatika kwenda kwenye mkutano leo nikamsikia mkuu wa wilaya ya Arumeru akisema mwisho wa kutembea ni saa nne usiku. Yaani mpaka kufikia saa tano asionekane raia yeyote zaidi ya askari polisi.

Huku akimsisitiza mkuu wa polisi "nadhani umenielewa" Hii imekaaje kihaki za raia wadau.

Wenzetu nchi jirani wanafanya biashara saa 24 hasa supermarkets na mahotelini huyo mkuu hataki serikali ipate kodi?
 
Mwendo mdundo...watu walale mapema waweze kuamka na mawazo mapana kwa mustakabali wa nchi yetu.....Nchi hii ni mwendo wa matamko tu
 
Huyo mkuu wa wilaya anapaswa kuelezwa kuwa hapo ni meru na sii huko anapotokea. Apewe tahadhari, mtiti wa hapo hata rafiki zangu wa tarime na rorya hukimbia.
 
Badala ya kuhakikisha wanaimarisha usalala miji inakuwa ya kufanya kazi 24/7 wao wanapunguza ..
Tunarudi nyuma au mbele
 
Kuna siku tutaambiwa kula mchana marufuku.
Ukuta unapagawisha watawala kuanzia yule mwenye top job hadi wale wa blow job
 
Wakuu,

Nilibahatika kwenda kwenye mkutano leo nikamsikia mkuu wa wilaya ya Arumeru akisema mwisho wa kutembea ni saa nne usiku. Yaani mpaka kufikia saa tano asionekane raia yeyote zaidi ya askari polisi.

Huku akimsisitiza mkuu wa polisi "nadhani umenielewa" Hii imekaaje kihaki za raia wadau.
Policcm Ongezeni vibanda vya kutupokea
 
1471894786090.jpg
 
watangaze hali ya hatari kila kiongozi anakuja na tamko lake
 
Back
Top Bottom