Mimi nikiwaambia CCM kuwa hawana akili ila hawataki kuamini.Ujue hiyo ndio itakuwa kwa nchi nzima.
Uamuzi huu una athari mbaya sana kwa CCM na serikali yake.
Sasa kwa madaktari wenye shift za usiku je? au hii haiwahusu?
Ndo tutafyatuana vyema asee coz kiwanda utakuwa nacho ndan kwa ndanKaazi kweli kweli hiyo ndo nchi ya viwanda.
Wakuu,
Nilibahatika kwenda kwenye mkutano leo nikamsikia mkuu wa wilaya ya Arumeru akisema mwisho wa kutembea ni saa nne usiku. Yaani mpaka kufikia saa tano asionekane raia yeyote zaidi ya askari polisi.
Huku akimsisitiza mkuu wa polisi "nadhani umenielewa" Hii imekaaje kihaki za raia wadau.
Ujue hiyo ndio itakuwa kwa nchi nzima.
Uamuzi huu una athari mbaya sana kwa CCM na serikali yake.
Wakuu,
Nilibahatika kwenda kwenye mkutano leo nikamsikia mkuu wa wilaya ya Arumeru akisema mwisho wa kutembea ni saa nne usiku. Yaani mpaka kufikia saa tano asionekane raia yeyote zaidi ya askari polisi.
Huku akimsisitiza mkuu wa polisi "nadhani umenielewa" Hii imekaaje kihaki za raia wadau.
Je ana mamlaka ya kutoa kauli hio?
Wataalam wa sheria nisaidieni plz