Arusha mpo!?

Last edited by a moderator:
hiyo red nimeipenda. Nitakutafuta unipe mbinu.

maskini Erickb52! Kumbe anakaa Olmatejoo!? Huu msimu wa mvua ulioanza, kunasiku ataokotwa Oljoro!

Erickb52 Mambo ya Ngurdoto analeta huku? BTW I had to pay someone to drive me back to town, since i cldnt drive my car Mr Rocky.

halafu Arushaone acha kujitapa bana eti mlikuwa ngurdoto jana wakati mimi nimewaacha pale Mrina
na mpango wenu ulikuwa kwenda sakina bar na then first and left hiyo Ngurdoto ya wapi wakuu
 
Last edited by a moderator:
Arushaone naona unachezea sharubu za simba aliyelala kwa mawazo kuwa amelala hatashtuka. Naona unanibeep beep hapa wengine wanadema unadeep
Dena Amsi wacha hata usimpe number maana hata hela ya vocha hana anadeep tuu hapa anasumbua
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei umeenda kufanya nini huko kenyanlist
Au ni mfuasi wa huo mtandao
Wapi aise mi niko gado Arushaone na Erickb52 ndo wana matatizo ya problem hawakamatiki aise
 
Last edited by a moderator:
Arushaone naona unachezea sharubu za simba aliyelala kwa mawazo kuwa amelala hatashtuka. Naona unanibeep beep hapa wengine wanadema unadeep
Dena Amsi wacha hata usimpe number maana hata hela ya vocha hana anadeep tuu hapa anasumbua


Ha ha ha hivi kumbe ndo yeye anayebeep?? Ok usimpigie bana hebu asitusumbue weekend hii watu tumepumzika yeye analeta za kuleta
 
Dena Amsi jamaa anajua kubeep yaani ni mtaalam haswa wa kubeep utafikiri amesomea aise
Hahahaha ndo yeye Arushaone anabeep kwa fujo mbaya weekend watu tumepumzika yeye anatuchosha na beep
 
Last edited by a moderator:
Hivi tulikuwa na uzinduzi jana!? Zaidi ya foleni sijaona jipya!
Bado "unachumbia" Dena Amsi. Pole sana. Haka kaubaridh kanaimarisha mapenzi yetu mimi na my wife marejesho. Na ni tatizo kubwa kwa sweetlady. Lazima amtafute nitonye popote alipo!

Mme wangu Filipo majukumu mengine ya leo ambayo si muhimu tuyahairishe!!Tubaki ndani tu....
 
Last edited by a moderator:
Mme wangu Filipo majukumu mengine ya leo ambayo si muhimu tuyahairishe!!Tubaki ndani tu....

Usijali mpz! Embu tuendelee kulala maana hili wingu limezuia kupambazuka. Utadhani bado ni saa 12 asubuhi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…