Arusha mpo!?

View attachment 70101
Mlima Meru unaoleta raha ya jiji la Arusha!

Erick mambo niaje? Kumbe hizi mbwembwe za siku zote ,
ooh Arusha jiji ! Arusha jiji !
Jana sijui juzi ndiyo Jeikei kawapeni hadhi ya jiji !
Punguzeni makidai basi nyie watu wa Arachuga!
Alafu kila kukicha mnatakaga kupima msuli na Roca cirry ! ( A central cirry of the great lakes )
mtatupata saa ngapi ?
 
Hahahaaaaaa kaka majungu hayo!
Lilikuwa jiji ila KJ (Kubwa Jinga) kazindua jiji jingine ndani ya jiji la Arusha yan City within a City
 
hali ya hewa iko safi, Arushaone wewe si unapenda sana kukaa kwenye mabenchi ya Palace Hotel,pale kwa mkuu wa mkoa,leo upumzike,patakuwa pameloa......
Hahahahahahahaaaaaa snochet naona una utani wa nguoni na Arushaone
Ina maana unataka kusema huwa anapendelea sana na maeneo ya Keep left ya Kijenge kushangaa maua na maji ya pale? Dah
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh b52 bhana! Sasa hao KJ anakaa kabisa na kuoneshwa v2 ambavyo waoneshaji wake wanamchora tu... Akisharudi hapa barua inatoka ikulu inatumwa CHINA kumpa hongera huyo mchina. Bado ile ya farasi kudadadeki. Erickb52 wewe cheboko.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…