kweli mkuu mie nilipita nikasikia yule dada9nafikiri shonza) akisema wanapicha chafu za lema, akiwaambia watu waende fc, mie nilikuwa napita na mishe zangu nilitaman nisikilize, ila ilikuwa wanazungumzia cdm tukikwete mku wa nchi so kama TCRA haikufuatili zakwake na za yeyote yule kikwete ndio mtu wakwanza kulaumiwa.
Hata hivyo nashaur Lema wala asichukulie hili swala kwa jazba,asilifanye big issue. Afuate taratibu za kisheria na aendelee na maisha kwani wengi washafanyiwa hivyo..kina bush,clinton,blair nk.
Infact,hiyo inaonyesha how desparte CCMs are. Jana nimesikiliza kmkutano kao pale nyuma ya shekh amri Abeid stadium kata ya kaloleni, seriously,these guys are desparate..uzi ukazwe watasanda soon. Usipoona zile rangi naeza fikiri mkutano ni wa CDM mana kila baada ya neno linafuata CDM hakuna cha maana wanaongea.
Mkuu tukemee mambo hayo bila kujali amefanyiwa Ben, ZittoKitendo cha TCRA kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.Tutaona
Mkuki kwa nguruwe ehhh za Kikwete mbona hukusema TCRA ila za bosi povu linakutoka.
I said it one day right here on JF that 'what goes around comes around'.Now it's your turn Hon. Lema to cry us a river.Tough luck!
Hizo picha zimetamalaki vilivyo kwenye simu za vijana wa UVCCM karibu wote nchi nzima wenye smartphones.
Wanasambaziana kupitia Whatsapp.
lema si alibaka kule uingereza?? ile kesi yake imefikia wapi? ushahidi huu hapa alivyobaka
View attachment 121018
lema si alibaka kule uingereza?? ile kesi yake imefikia wapi? ushahidi huu hapa alivyobaka
kitendo cha tcra kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.tutaona
Hizo picha zinahusu nini.
mie natamani kuziona hizo picha
Kitendo cha TCRA kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.Tutaona
Lema ni firauni
tangu lini changudoa anabakwa???
huyo dada alitafuta umaarufu kupitia kwa lema lakini shetani alivo mbaya akatuonyesha tabia zake.
Mungu ni mwema kila kashfa wanazopewa wamtumainiao zinashindwa
Ben.
Huu ujinga mbona rais wetu kaishafanyiwa sana hata siku moja haukulalamika kuhusu TCRA
Picha kama hiyo ilitengenezwa kwa Jakaya Kikwete mwanzoni mwa kipindi chake cha urais. Sote tunajua reaction ya dola ilivyokuwa na namna mamilioni ya walipa kodi yalivyotumika kuwasaka walioipost mitandaoni. Ilivyoletwa hapa nakumbuka wengi walilamba BAN za maisha.
Sasa imerudi kwa Lema, TCRA wamefumba macho, ngoja iwekwe ya Bilal akimtafuna Kikwete ndipo watatia akili...
lema ni janga kwa vijana, ameiga tabia ya slaa
Anachozungumza Ben si kwenye hii ishu tu- gutter politics ni pamoja na hizo ulizotaja! Kuna haja ya wamiliki wa tovuti, wavuti kuwa makini na chini ya sheria wanasababisha madhara makubwa sana kwenye afya ya miili na akili za watu! Ni sawa na kuwalisha watu madawa/vyakula vyenye sumu!mbna mawasiliann ya zitto yalipowekwa hadharani hukusema haya? Ben tuache hzi double standards,hazitusaidii chochote.