Arusha/Moshi: Nahitaji kwa haraka Top Shaft ya Rav4

Ntu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,038
Reaction score
697
Wakuu nahitaji kununua kifaa tajwa kwa haraka hapa A-town. Nimehangaika sana kuitafuta desemba ila hakuna. NB; iwe na disc zake na isiwe imebabuka.

cc Ngongo & Mzee wa Rula
 
Last edited by a moderator:
Wajameni hakuna wauza spare ya magari tajwa humu hapa Arusha????
 
Ningekusaidia ila lipicha la Magu limenichefua endelea kutafuta na ninauhakika hautapata.
 
Wakuu nahitaji kununua kifaa tajwa kwa haraka hapa A-town. Nimehangaika sana kuitafuta desemba ila hakuna. NB; iwe na disc zake na isiwe imebabuka.

cc Ngongo & Mzee wa Rula

Nenda Monaco ipo karibu na shule ya bondeni........au Denso.......mitaa ya CCM mkoa........(hawauzi used)........
 
Last edited by a moderator:
Nenda Monaco ipo karibu na shule ya bondeni........au Denso.......mitaa ya CCM mkoa........(hawauzi used)........

Thnx mkuu, ngoja nienda chap
 
Back
Top Bottom