Lyceum
JF-Expert Member
- Oct 1, 2009
- 1,046
- 568
........
OTIS.
Kama kupinga ufisadi, unyanyasaji na ujinga ni Uchizi na mimi nitakuwa chizi japo sio CDM
........
OTIS.
Shaka 0% mkuu, inabidi kuwa full equiped kwa maana ya vitendea kazi kama digital camera inayoweza kuchukua picha na hata clip kwa ajili ya wanaJF walio mbali na eneo la tukio.
Quinine,
Habari za siku nataka kuja CDM utanipokea
Mkuu mwenyewe wa kuja, kaijua lini Arusha?
Kama anataka advertize ataiona kesho!
'wata' ni kauli wingi taarifa, endelea kuwasemea watu kama remote controler ila kuanzia kesho mpaka tarehe 14 mwezi huu huyu Mkuu wa Mkoa atatapika mawashiwashi mpaka atakonda.Mkuu na wewe kweli uwa unaongea pumba kama hizi?
Mkuu wa mkoa kwani yeye ndio atatembea mkoa mzima mpaka kuujua? Wapo wasaidizi wake tena wazawa wa Arusha ndio watafanya kazi kuakikisha usafiri utakuwepo kwa wakazi wa Arusha.
Kama Mkuu wa Mkoa ni wakuja hiyo hoja ni dhaifu sana PJ
Ni kweli Dume la Mende we kaa chooni tu huko huko kunakufaa kabisa,ujinga mtupu,, niache kuhangaikia mkate wa wanangu nikapigwe jua, hata maana ya mgomo siujui,, nendeni wenyewe............w
Za siku ni mbaya hadi taifa litakapokombolewa kutoka mikononi mwa vibaraka weusi, wewe kaa huko huko CDM haina pesa ya kukulipa kwa kila post unayo-post JF.
ujinga mtupu,, niache kuhangaikia mkate wa wanangu nikapigwe jua, hata maana ya mgomo siujui,, nendeni wenyewe............w
Ni kweli Dume la Mende we kaa chooni tu huko huko kunakufaa kabisa,
Shida ya siasa za kupokea maelekezo, hata kama akili yako inagoma basi itabidi ukubali. Utashangaa hali ikiwa tete mwisho wa siku serikali inaamuru Lema atolewe jela na kuanza kusuluhisha! Amani ya Arusha itapatikana kwa kuacha kupokea maelekezo na kufanya siasa za kuwafurahisha wazee.'wata' ni kauli wingi taarifa, endelea kuwasemea watu kama remote controler ila kuanzia kesho mpaka tarehe 14 mwezi huu huyu Mkuu wa Mkoa atatapika mawashiwashi mpaka atakonda.
OCD mbona hatoi kauli za kuwatisha panya wa arusha dhidi ya mgomo huu??Mkuu wa mkoa wa Arusha amewatoa hofu wananchi wa Arusha kuwa wasiwe na wasiwasi juu ya usafiri kesho kuwa utakuwepo na kutakuwa na ulinzi wa kutosha. Ameyasema hayo kupitia Tripple A Fm katika kipindi maalumu.
Mkuu wa mkoa wa Arusha amewatoa hofu wananchi wa Arusha kuwa wasiwe na wasiwasi juu ya usafiri kesho kuwa utakuwepo na kutakuwa na ulinzi wa kutosha. Ameyasema hayo kupitia Tripple A Fm katika kipindi maalumu.
Kenge huwa hasikii na ili kenge aweze kusikia unapaswa kumtandika mpaka damu zimtoke maskioni ndo atasikia.Shida ya siasa za kupokea maelekezo, hata kama akili yako inagoma basi itabidi ukubali. Utashangaa hali ikiwa tete mwisho wa siku serikali inaamuru Lema atolewe jela na kuanza kusuluhisha! Amani ya Arusha itapatikana kwa kuacha kupokea maelekezo na kufanya siasa za kuwafurahisha wazee.
Mkuu na wewe kweli uwa unaongea pumba kama hizi?
Mkuu wa mkoa kwani yeye ndio atatembea mkoa mzima mpaka kuujua? Wapo wasaidizi wake tena wazawa wa Arusha ndio watafanya kazi kuakikisha usafiri utakuwepo kwa wakazi wa Arusha.
Kama Mkuu wa Mkoa ni wakuja hiyo hoja ni dhaifu sana PJ
OCD mbona hatoi kauli za kuwatisha panya wa arusha dhidi ya mgomo huu??