Arusha: Mkuu wa Mkoa awatoa hofu wananchi juu ya mgomo wa daladala/pikipiki

Hao wananchi wanaotolewa wasiwasi ni akina nani? ina maana hao watakaogoma siyo wananchi? kwa kweli ccm siwaelewi ni kiswahili gani wanachokiongea
Lengo ni kuwapa awareness watu kuwa hali itakuwa shwari, na nadhani leo hii watu hawatalala kujipanga jinsi ya kukabiliana na hali hiyo kesho. Yote kwa yote lakini naomba hali hiyo isigharimu maisha ya waArusha.
 
Mkuu na wewe kweli uwa unaongea pumba kama hizi?

Mkuu wa mkoa kwani yeye ndio atatembea mkoa mzima mpaka kuujua? Wapo wasaidizi wake tena wazawa wa Arusha ndio watafanya kazi kuakikisha usafiri utakuwepo kwa wakazi wa Arusha.

Kama Mkuu wa Mkoa ni wakuja hiyo hoja ni dhaifu sana PJ

inawezekana, ikiwa mkuu hajui wanaotaka kuifilisi nchi anayoiongoza kwa deni la zaidi ya bilion 120 sembuse RC! Bongo hii yote yanawezekana.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha amewatoa hofu wananchi wa Arusha kuwa wasiwe na wasiwasi juu ya usafiri kesho kuwa utakuwepo na kutakuwa na ulinzi wa kutosha. Ameyasema hayo kupitia Tripple A Fm katika kipindi maalumu.

Mzee mwenzangu huku ulinzi upo tu kila siku na tushauzoea.
 
Watawalazimisha wenye magari kuyaingiza barabarani?
Kingine kinachosumbua wewe dereva wako akikuambia leo kun mgomo wa dala dala sasa naona ngoja tusome ramani utambishia na kumlazimisha aende kazini? By that logic, magari mengi hayatakuwepo kesho barabarani hususani njia ya Kwamrombo, Kisongo, Munduli.
 
The only thing we have 2fear is fear it self...kuna mahali kwenye bible panasomeka hivi" 4the Lord has nt given me the spirit of fear bt of power,love and of sound of mind"..GOD blec u all
 
inawezekana, ikiwa mkuu hajui wanaotaka kuifilisi nchi anayoiongoza kwa deni la zaidi ya bilion 120 sembuse RC! Bongo hii yote yanawezekana.

Wako waliokuwa na misimamo na kama huyo na waka staafishwa kwa lazima kabla ya muda sasa ye akiwa kijana afanye kazi kwa uangalifu.
 
Mgomo siku ngapi vile nataka nifahamu tu
Wewe subiri taarifa tu, hata kama utakuwa ni mwaka haikusaidii wewe maana najua jinsi mlivyo mabingwa wa kubeza lakini maji yalifika shingoni mnapiga mayowe.
 
Kaa huko huko ulipo,tuachie Arusha yetu sisi tunaoishi humu na kama hamtujui vizuri huwa vitendo vinatangulia zaidi kuliko maneno matupu Kama haya yako

Huyu chokoraa mliye mchagua kweli anajua kucheza na mind zenu!
 
Kingine kinachosumbua wewe dereva wako akikuambia leo kun mgomo wa dala dala sasa naona ngoja tusome ramani utambishia na kumlazimisha aende kazini? By that logic, magari mengi hayatakuwepo kesho barabarani hususani njia ya Kwamrombo, Kisongo, Munduli.

Yangu hayatoki mkuu si hitaji matatizo mwenye amri na mali yangu niliyo inunua mwenyewe anfuate aninyanag`anye leseni kama ana sheria hiyo si hitaji aumie mtu au mkate wangu uharibiwe,bora yasitoke na amri nishatoa.
 
Huyu chokoraa mliye mchagua kweli anajua kucheza na mind zenu!
Ukichunguza historia za marais na watu wengi maarufu wametoka kwenye umaskini ambao hapo umeubatiza uchokoraa, sababu kubwa ni ujasiri wa kuthubutu na kuongea vitu vyenye mashiko.
 
hao ni kuwafungia kazi.

40 days bila kama mfungo wa kwaresma.

hii ya leo mnagoma kesho mnaacha haitoi somo la kueleweka kwa hawa mafisadi.
 
Wewe subiri taarifa tu, hata kama utakuwa ni mwaka haikusaidii wewe maana najua jinsi mlivyo mabingwa wa kubeza lakini maji yalifika shingoni mnapiga mayowe.

Tunasubiri mkuu wangu..kwa raha zetu

Nyinyi endeleeni kuwa-brainwashed kama NTC walivyoleta hasara kwa taifa lao..

Sasa wanadai billions on top of national resources..zao
 
Back
Top Bottom