Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

Lipumba hajaeleza ni vipi yuro itastabilaizi kutoka na kitisho cha ugiriki?

Huyu prof ..elimu yake ipo disconnected sana na application yake ktk real life.Maprof wenzake hutenda wakipendacho na kukiweza kwa ufanisi sana.Kama aliyebuni basketball kama indoor game.Huyu jamaa ataungaunga sana theory za kiuchumi za wenzake ili aonekane kama wao ila bado hawezi kuja na anything unique and useful to real life.
 
Jamaa anasema CHADEMA na CCM ndo wamefanya maisha ya watu wa ARUSHA yawe magumu.anadai CUF ndo chama makini Tanzania hii
 
NI ARUSHA HIZI PICHA KWELI?? any way nawatakia mikutano mizuri, lakini wajue adui yao sio CDM bali mfumo mzima wa sisiemu na watendaji wake... wa angalie nje ya box, nchii hii ni yetu sote.
 
Jamaa anasema CHADEMA na CCM ndo wamefanya maisha ya watu wa ARUSHA yawe magumu.anadai CUF ndo chama makini Tanzania hii

Ni kama mwananke mbaya wa sura na umbile lisilovutia anayejaribu waambia watu ktk shindano la mamiss kuwa wote jukwaani hakuna kama yeye.
 
ANADAI KAMATI KUU YA CHADEMA YA WATU 45 Ndo waliomfukuza na kuacha watu zaidi ya buku waliomchagua, amesahau CUF waliwatimua wakina hamadi rashidi. Ni diwani BAYO
 
Back
Top Bottom