GE2025 Arusha Mjini wapo tayari kumrudisha Gambo

GE2025 Arusha Mjini wapo tayari kumrudisha Gambo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Baadhi ya wananchi katika Jimbo la Arusha Mjini wameeeleza nia yao ya kumuona Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Mrisho Gambo akirejea tena katika jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2025- 2030 ili aendelee kuwasemea wananchi wakimtaja kuwa mfanyakazi hodari na mwenye kuijua vyema Arusha.

Wamewataka wajumbe wa CCM watakaohusikakupitisha jina la mgombea ubunge katika jimbo hilo kutenda haki kwa kumrejesha Gambo katika kinyang'anyiro hicho.

DAB ni kundi la mwendazake. Na mzanzibari mwanamke hataki kabisa kuwa na sukuma gang ktk kipindi chake cha mwisho. Ndiyo maana ameanza kuwakazia Majaliwa na Tulia halafu atamaliza na Makonda
 
Kwa ujumla bora sana Ngambo kuliko ile ingine yani! Japo zote hasara tu
 
DAB ni kundi la mwendazake. Na mzanzibari mwanamke hataki kabisa kuwa na sukuma gang ktk kipindi chake cha mwisho. Ndiyo maana ameanza kuwakazia Majaliwa na Tulia halafu atamaliza na Makonda
Huyo DAB alikua ana msnitch JPM sema alichelewa kushituka ,ndio hata ubunge alimtosa
 
Wapigane au wauane kwanza, ndio tutakuja kuwajadili hao kina Gambo na Makonda.
Ni uchafu wa kisiasa unaendelea Arusha kwa sasa. Hakuna aliyemsafi au aliye bora kati yao.
 
DAB ni kundi la mwendazake. Na mzanzibari mwanamke hataki kabisa kuwa na sukuma gang ktk kipindi chake cha mwisho. Ndiyo maana ameanza kuwakazia Majaliwa na Tulia halafu atamaliza na Makonda
Sasa hivi anamkubali kwa vile anamletea waganga kutoka Gamboshi.
 
Bashite alishiriki kifo cha saa 8,hatumtaki hapa Arusha.
 
DAB ni kundi la mwendazake. Na mzanzibari mwanamke hataki kabisa kuwa na sukuma gang ktk kipindi chake cha mwisho. Ndiyo maana ameanza kuwakazia Majaliwa na Tulia halafu atamaliza na Makonda
Makonda kuondolewa na ssh hapo sahau, na kwenye mchujo atapita. Kwenye kura atapita kwa kura za anaehesabu, si za wapiga kura.
 
Gambo mfumo haumtaki, makonda watampitisha kwa gharama yoyote ile !
 
Wakifanya kosa kumrudisha Makonda, mauaji yataendelea kama kawa kama kipindi cha jpm. Hata marekani walimpiga total ban kwa kuua watu kama kuku. Yule bwana mdogo ni zero brain ila nguvu yake ni uchawi
 
Kwani Gambo alichaguliwa na wana Arusha au Magufuli? Yeye, Makonda na wanaccm wote si machaguo ya wana Arusha.
 
1751876777608.jpeg
 
Back
Top Bottom