Umeandika nini?Jana baada ya kuingia Mjini Arusha na leo katika pitapita zangu, nimeshtushwa na pilika za usafi wa hali ya juu katika jiji hili.
Jiji ni safi sikuwahi kutegemea, hakika kichaa kapewa Rungu. Shikeni hapo hapo, hii ni faraja kwa wanaarusha kuwa hamuwaangushi. Hata sie wanaccm tunayaona mabadiliko mnayoonesha.
*MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU*
Tanzania ya Magufuli kila mkoa sasa ni msafi tu.Ndo uamini kwamba nyie Magamba ni mawakala wa ujinga, maradhi, umaskini na hata UCHAFU. Wenzenu (CHADEMA) wamebadili muonekano wa jiji, na sasa limekuwa la kuvutia wakati nyie mlilifubaza.
Good Job Dc Mrisho Gambo, mkurugenzi mpya na Rc Felix NtibendaJana baada ya kuingia Mjini Arusha na leo katika pitapita zangu, nimeshtushwa na pilika za usafi wa hali ya juu katika jiji hili.
Jiji ni safi sikuwahi kutegemea, hakika kichaa kapewa Rungu. Shikeni hapo hapo, hii ni faraja kwa wanaarusha kuwa hamuwaangushi. Hata sie wanaccm tunayaona mabadiliko mnayoonesha.
*MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU*
Umeandika nini?
Stay there.Wakipewa nchi hapo ndio mambo yatakuwa mswano kabisa.
2010 chini ya mameya wa ccm waliokuwa wameingia kwa bao la mkono wao kazi yao ilikuwa kupambana na chadema tu na si kuleta maendeleo, Lyimo aliona jinsi ambavyo aliharibu jiji hata hakuthubutu tena kugombea udiwani hapo oloirien, sasa hivi halmashauri nzima chadema hakuna wa kukwamisha kazi, hata Magufuli alipokuwa Arusha alimsifia sana MEYA na kumwambia ni kiongozi wa kuigwa.Tanzania ya Magufuli kila mkoa sasa ni msafi tu.
Hongera sana jembe letu Magufuli rais wetu mpendwa.
Chadema wametawala Arusha tokea 2010 walikuwa wapi mpaka hii enzi ya chaguo la Mungu Magufuli ndio wafanye usafi?
Karibu tena baada ya Hilo barabara km 30+ kujengwa kwa kiwango cha lami ndio utauona umahiri wa CDM/UKAWA; Jiji letu hakika litakuwa tamu kama mcharo! Big up kmnd Lema, Meya Calist na madiwani wetu wote, pigeni kazi JPM aduwae!Jana baada ya kuingia Mjini Arusha na leo katika pitapita zangu, nimeshtushwa na pilika za usafi wa hali ya juu katika jiji hili.
Jiji ni safi sikuwahi kutegemea, hakika kichaa kapewa Rungu. Shikeni hapo hapo, hii ni faraja kwa wanaarusha kuwa hamuwaangushi. Hata sie wanaccm tunayaona mabadiliko mnayoonesha.
*MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU*
Kazi za jiji ziko chini ya halmashauri ambayo mpaka 2015 ilikuwa chini ya CCM. Mbunge ni mjumbe wa halmashauri tu na hana VETO.Tanzania ya Magufuli kila mkoa sasa ni msafi tu.
Hongera sana jembe letu Magufuli rais wetu mpendwa.
Chadema wametawala Arusha tokea 2010 walikuwa wapi mpaka hii enzi ya chaguo la Mungu Magufuli ndio wafanye usafi?
Wewe kumbe ndio umeamka!,mbona usafi ni desturi huko.Jana baada ya kuingia Mjini Arusha na leo katika pitapita zangu, nimeshtushwa na pilika za usafi wa hali ya juu katika jiji hili.
Jiji ni safi sikuwahi kutegemea, hakika kichaa kapewa Rungu. Shikeni hapo hapo, hii ni faraja kwa wanaarusha kuwa hamuwaangushi. Hata sie wanaccm tunayaona mabadiliko mnayoonesha.
*MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU*
Mkuu mpk 2015 inaisha jiji lilikuwa chafu sana, na madiwani ndio wajumbe wa halmashauri, na nimesikia eti chadema ktk hyo halmashauri wana madiwani zaid ya 30 na sie CCM mmoja tuKazi za jiji ziko chini ya halmashauri ambayo mpaka 2015 ilikuwa chini ya CCM. Mbunge ni mjumbe wa halmashauri tu na hana VETO.
Sasa haya unayoyaandika hayaakisi ukweli wa mambo