Arusha: Mgombea udiwani CUF aomba kura kwa kulia

Mbona nyomi ya kutosha tu iliyokuwa inamsikiliza makamu wa rais?unaju lazima mjue kwamba udiwani ni katika kata na nitofauti na mkusanyiko wa ubunge,so jaribuni kulewa kwamba hiyo nyomi ilikuwa ya kutosha kabisa,na wala hakuna cha aibu wala nini
Kwa taarifa yako na usiwaambie watu sehemu ambapo mkutano ulifanyika ni si zadi ya mita 100 kutoka kwenye geti la Bayo na kabla ya mkutano alipita kwa majirani kuwaomba wengine waliona aibu ikabidi wakamsikilize wajue wako pamoja sasa subiria kwenye box akipata kura kumi pale elerai shule ya msingi anabahati sana...
 
Mkuu huyu Bayo tumeshamtandika kipigo cha mbwa mwizi na hili jeraha halitaisha kamwe kwasababu huyu ni mfano wa wasaliti wa damu iliyomwagika hapa arusha kwenye lile tukio la kupinga mpango wa ccm na meya feki.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hivi lile deni la gharama za kesi walishalipa lote?
 
Hivi nao CUF bado wapo bize kufanya mkutano Arusha!! kwa kweli wana moyo mgumu
......
 
Wametumwa na bwana yao CCM kuja kupunguza kura za CHADEMA, sasa chadema wanapiga two in one yaani mme na mke
Hahahahaha wamekuja kutafututwa kkushughulishwa zaidi na CHADEMA hawa CCM na CUF
 
Mkuu wangu Crashwise nipo sana.Juzi nilikuwa napata Gordons mahali akatokea mwanariadha mmoja wa zamani tunafahamiana siku nyingi kidogo.Tukawa tunabadilishana mawili matatu tulipoingia eneo la siasa mara moja akaanza kumzungumzia John Bayo jinsi alishiriki kuimaliza mchezo wa riadha hapa Tanzania.

Kuna Promoter mmoja MuItaliano jina limenitoka kidogo alikuwa akimtumia fedha kwaajili ya kuanzisha kijiji cha michezo hapa Tanzania.

Badala ya Bayo kuzielekeza fedha khasa katika riadha ie Ujenzi wa hostel,vyumba vya mazoezi gym, vifaa vya michezo na nk jamaa likaamua kujenga nyumba yake halafu likawa linatuma picha za nyumba yake eti ndiyo hostel za michezo siku Promoter alipokuja Tanzania Bayo akawa hana cha kumwonyesha matokeo yake mradi wa michezo ukahamishiwa Kenya so matunda ya riadha Kenya tunayoyashuhudia leo yangewezekana pia kuonekana Tanzania kama si ujanja ujanja wa John Bayo.

Zipo pia tuhuma nyingine alishiriki sana kutafuna fedha za Marehemu Simon Robert.Kipindi hicho alikuwa meneja wa Simon Robert kabla mauti hajamkuta alishatimuliwa baada ya ugomvi mkubwa uliohusisha ukwapuaji wa fedha za marehemu bila ridhaa yake.

Mkuu upo?, siku nyingi sana...
 
Last edited by a moderator:
John Bayo dunia imemgeuka usaliti umemponz mbona walibembelezwa sana waombe msamaha warudi kundini wakagoma mimi nadhani ni fedha ziliwalevya,atalijua jiji
 
Ni kweli alijenga nyumba mbili na gari lakini nyumba moja alisha iuza pamoja na gari hivyo amebaki na nyumba moja tu ambayo aliipata kwa njia hizo..
 
John Bayo dunia imemgeuka usaliti umemponz mbona walibembelezwa sana waombe msamaha warudi kundini wakagoma mimi nadhani ni fedha ziliwalevya,atalijua jiji
Kilicho udadisha bayo mpaka kuingia kwenye mtego wa magamba ni vijisenti na ahadi za kujengewa barabra bila kujua kuwa hata kama asipoukubali mwafaka fake barabara zingejengwa tu kama wanavyofanya sana ikumbukwe pesa ya ujenzi wa barabra za Arusha zilitolewa na World Bank tangu mwaka 2008, hivyo bayo baada ya kupata uhakika kuwa barabra zitajengwa akaona ndoto yake ya kugombea ubunge kijijini kwao itatimia kwani atakuwa na cha kusemea wakapewa vijisenti vya kuwa lainisha wakawasaliti wanachadema na damu iliyomwagika kupiga uchaguzi fake wa meya wa Arusha...
 
Hivi ni lazima kuwa mwanasiasa?

Siyo! Ila hapa Arusha, walie au wacheke, CHADEMA siyo tu kuwa ni chama tawala, bali CHADEMA ni kama dini kwa wengine. Bado siku 10 uthibitisho wa haya uyaone mkuu watu8!
 
Last edited by a moderator:
Hii ni aibu kwa CUF na wanatakiwa wajitoe tu katika uchaguzi maana hawana chao kwani inaonekana wazi kuwa wananchi wa eneo hilo wamewakataa kiasi kwamba hata kuwasikiliza hawataki.
 
Maalim Seif anagombea Arusha? weka picha muafaka
 
Kilicho udadisha bayo mpaka kuingia kwenye mtego wa magamba ni vijisenti na ahadi za kujengewa barabra bila kujua kuwa hata kama asipoukubali mwafaka fake barabara zingejengwa tu kama wanavyofanya sana ikumbukwe pesa ya ujenzi wa barabra za Arusha zilitolewa na World Bank tangu mwaka 2008, hivyo bayo baada ya kupata uhakika kuwa barabra zitajengwa akaona ndoto yake ya kugombea ubunge kijijini kwao itatimia kwani atakuwa na cha kusemea wakapewa vijisenti vya kuwa lainisha wakawasaliti wanachadema na damu iliyomwagika kupiga uchaguzi fake wa meya wa Arusha...
Tamaa mbele mauti,analia nini sasa nadhani amepoteza mengi
 
Ni swali zuri sana......na kama haitoshi inakuwaje mtu unaenda kwenye kituo cha kupgia kura unafika pale unachukuwa karatasi yakupigia kura halafu unamchagua lipumba???????!!!!!!! haya ndo maneno yaliyopata kutamkwa na viongoz wa cuf kwa nyakati tofaut "tumeshindwa jimbo la uzini kwa sababu watu wa bara na wakristu ni wengi pale"

acha unafiki mdini mkubwa wewe tena toka na dini yako ya ki liberal
 
Back
Top Bottom