Arusha: Mgombea udiwani CUF aomba kura kwa kulia

Arusha: Mgombea udiwani CUF aomba kura kwa kulia

mwanaume kulilia kura kwa machozi imenishangaza na kunisikitisha.Ingekuwa ni mwanamke nisingeona big deal
 
Bayo, you can fool same people sometimes, but you cannot fool all people all the time.
Kama hukuvuta mshiko, na ulikuwa na nia ya kutikkia wananchi wako kama ni kweli, mbona ulionyesha kiburi pale uliposhauriwa na viongozi wako?
Una habari kuna watu walikufa kupinga utaratibu ulio tumika kmpata meya?
Ulipo pingana na chama chako na kukbilia manispaa kwa tamaa zako, ni nani angekuwa meya wako????

Mkuu huyu Bayo tumeshamtandika kipigo cha mbwa mwizi na hili jeraha halitaisha kamwe kwasababu huyu ni mfano wa wasaliti wa damu iliyomwagika hapa arusha kwenye lile tukio la kupinga mpango wa ccm na meya feki.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wenye tabia ya kutumia machozi strategy ili wahurumiwe ni wanawake. Yeye vipi? Apeleke uliberali wake huko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
........fanyamchezoonini !!!!!!!!!!!,?????
 
Haistahili kutoa kura kwa chama cha CUF ambacho baada ya Katiba mpya kupitishwa hatima yake Tanganyika haifahamiki. Haieleweki kama Lipumba atahamia Zanzibar au Mtwara. Kwa sababu Katika haitaruhusu kufanya siasa nchi nyingine hasa pale Tanganyika itakapozaliwa.
 
Moja kati ya mawili huenda ikawa kweli au vyote viwili:

1) Mwandishi ameandika kishabiki sana

2) Mwandishi hakupitia shuleni kufunzwa kuhesabu. Hajui hata 50 ni ngapi!
 
Mbona nyomi ya kutosha tu iliyokuwa inamsikiliza makamu wa rais?unaju lazima mjue kwamba udiwani ni katika kata na nitofauti na mkusanyiko wa ubunge,so jaribuni kulewa kwamba hiyo nyomi ilikuwa ya kutosha kabisa,na wala hakuna cha aibu wala nini
 
Hivi ni lazima kuwa mwanasiasa?

Hata mimi nimejiuliza hilo swali. inamana huyu kiazi hana shughuli nyingine? yani bure kabisa. Analia ili wananchi wamuonene,lina uchu na madaraka na si kusaidia wananchi,kuweni makini na mashetani ya stail hii.
 
Mbona nyomi ya kutosha tu iliyokuwa inamsikiliza makamu wa rais?unaju lazima mjue kwamba udiwani ni katika kata na nitofauti na mkusanyiko wa ubunge,so jaribuni kulewa kwamba hiyo nyomi ilikuwa ya kutosha kabisa,na wala hakuna cha aibu wala nini

Kwa hiyo unafarijika kwa nyomi? tena unajitahidi kufafanua kwa Kina, tofauti ya nyomi ya mbunge na nyomi ya diwani?!! we ndo kiazi kweli,bure kabisa
 
Hivi ni lazima kuwa mwanasiasa?
Ni swali zuri sana......na kama haitoshi inakuwaje mtu unaenda kwenye kituo cha kupgia kura unafika pale unachukuwa karatasi yakupigia kura halafu unamchagua lipumba???????!!!!!!! haya ndo maneno yaliyopata kutamkwa na viongoz wa cuf kwa nyakati tofaut "tumeshindwa jimbo la uzini kwa sababu watu wa bara na wakristu ni wengi pale"
 
Mkuu kitendo cha Prof. Lipumba au Kikwete na CCM yake kujibu video hiyo itaibua nyingine tena ambayo ipo kwenye ushahidi wa mbunge wa Arusha (Mhe. Godbless Lema) ambayo masheikh wanathibitisha hilo siku ikifika tutaiweka ingawa ni inatia hasira sana kwa dini nyingine na vyama vingine ambavyo havikuwepo kwenye mpngo huo haramu...

Nje ya CHADEMA hakuna raha ya maisha, Hii comment inaumiza magamba na Macuf vichwa na sijui siku huo ushahidi wa Kamanda Lema ukimwaga basi nchi itatikisika.
 
Baasi usileeee!! Tutakuchagua tena

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
John Bayo baada ya kula fedha za riadha kakimbilia siasa anajua ni rahisi kutoka ha ha ha ha.
 
Back
Top Bottom