Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,633
ii ni kali aiseee yaani mkotayari kufanya au kusema chochote kutetea unachoamini. Mwaka 2014 nilikuwa na heka heka nyingi sana zinazohusu kusafiri na nilikuwa nabadili sana fedha lakini dollar haikuwahi kufika hata 2400 acha 2500 uisemayo. Mwenye ushahidi aje hapa. Daaah yaani mtu yuko tayari kusema lolote tu kama viongozi wa awamu hii!!!Huko ndo kushuka? Mwaka 2014 dola ilifika TZS2500, au ulikuwa hujaweza kumiliki forex!