Arusha: Maandamano yatapita barabara hizi

Arusha: Maandamano yatapita barabara hizi

Kabla sijachangia hayo maandamano ya kibali cha polisi.
 
Kwa sababu maandamano hushabikiwa sana na vibaka na watu wenye akili ndogo, ambao hawajawahi kufanya ugunduzi wa kitu chochote hata wembe au sindano. Uliwahi kusikia watu wenye akili kama Isaac Newton, Galilei Galileo, Albert Einstein, Amedeo Avogadro, J.J. Thomson, Godat Nzowa, Lord Lutherford, n.k. wanaandamana vichochoroni?

madaraka matamu sana nayanalevya kama wewe ulivyolewa na kuanza kuwaita watanzania vibaka lakini nikuhakikishie tu kuwa huna siku nyingi...
 
Kabla sijachangia hayo maandamano ya kibali cha polisi.

mbona kwénye ile muvi hajauliza kama inakibali cha kuonyeshwa mbele ya kadamnasi licha ya kutokuwa na viwango...
 
Juzi kuna watu wameenda jela mwaka mmoja kisa kufanya maandamano bila kibali cha polisi.
 
Juzi kuna watu wameenda jela mwaka mmoja kisa kufanya maandamano bila kibali cha polisi.
hata bila kuandamana mnawafungulia kesi feki sasa si bora waandamane wapeleke m4c magerezani.
 
Mungu aepushe lakini naona kama damu itamwagika tena Arusha!! Flying objects,washawasha na mabomu ya machozi yamekuwa likizo kwa muda mrefu sana.

Lakini hakuna kitu kizuri kama kusimamia unachokiamini na kamwe usirudi nyuma, kila la kheri waandamanaji wa Arusha.
 
Juzi kuna watu wameenda jela mwaka mmoja kisa kufanya maandamano bila kibali cha polisi.

Mandela alikaa miaka 27 kisa maandamano na harakati za ukombozi, sasa hayo maandamano ya waislamu ya kuchoma makanisa na kuiba mali za kanisa nayo unaita maandamano??huo ni ugaidi!
 
Maandalizi yote ya maandamano makubwa ya kumngoa Kawambwa yamekamilika,tunaanzia Philips,saa nne asubuhi,kupitia Barabara ya Afrika mashariki,Police line,Makongoro,Uhuru na kuhitimishwa kwa mkutano mkubwa wa hadhara viwanja vya Kilombero,natoa wito kwa wananchi wote kujitokeza kwa wingi.

Hakuna kulala hadi kieleweke
This time CHADEMA ni lazima ku retreat kwani kitendo cha CCM kupinga maandamano haya ni ishara ya kuwa kuna mkakati wa kuweza kuanzisha fujo.
Maandamano yasitishwe kwani lazima litatokea jingine ambalo lita justify maandamano siku si nyingi.
 
toka CHADEMA WAMKANE KAMANDA LUDOVICK TULIESOMA NAE PALE DUCE SIIANDAMANI NG'O

kwani usipoandamana wewe unazuia nini? Kwenda zako huko, nenda kakojoe ulale uvae na bikini.
 
Kwa sababu maandamano hushabikiwa sana na vibaka na watu wenye akili ndogo, ambao hawajawahi kufanya ugunduzi wa kitu chochote hata wembe au sindano. Uliwahi kusikia watu wenye akili kama Isaac Newton, Galilei Galileo, Albert Einstein, Amedeo Avogadro, J.J. Thomson, Godat Nzowa, Lord Lutherford, n.k. wanaandamana vichochoroni?

Mkuu hao uliowataja wangezaliwa tz ya leo,namaanisha ya mr.fastjet wangelikuwa wa kwanza kuingia road. kuandamana na kutoa ujumbe kwa serikali isiyo sikivu na legelege ambayo kwa kutumia mfumo wa undugunaizesheni inakuwa ngumu kuuwajibisha viongozi.
 
Yoyote atayeandamana bila kibali cha polisi atajuta na nafsi yake, polisi fanyeje kazi yenu ya kulinda raia na mali zao.
 
Mandela alikaa miaka 27 kisa maandamano na harakati za ukombozi, sasa hayo maandamano ya waislamu ya kuchoma makanisa na kuiba mali za kanisa nayo unaita maandamano??huo ni ugaidi!

Mandela hakuwa kuteka waandishi wa habari na kuwanyofyoa kucha.

Usitake kupotosha Waislam waliofungwa hawana uhusiano na kuchomwa makanisa hawa wafungwa kwa kosa la kuandamana tu.

Sasa na nyie fanyeni maandamano ndiyo mtajua nidhamu ya jeshi la polisi.

Najua wewe huwezi kuandamana utaandamana kidigital kwenye Laptop.
 
Kwa sababu maandamano hushabikiwa sana na vibaka na watu wenye akili ndogo, ambao hawajawahi kufanya ugunduzi wa kitu chochote hata wembe au sindano. Uliwahi kusikia watu wenye akili kama Isaac Newton, Galilei Galileo, Albert Einstein, Amedeo Avogadro, J.J. Thomson, Godat Nzowa, Lord Lutherford, n.k. wanaandamana vichochoroni?

This is too low Nzowa!
Kwa hiyo CCM and CO hawapendi kuandamana kwa sababu ya ugunduzi wao na akili zao nyingi kwa watz au?
 
This is too low Nzowa!
Kwa hiyo CCM and CO hawapendi kuandamana kwa sababu ya ugunduzi wao na akili zao nyingi kwa watz au?

I expected this sort of response from the start, ok your opinion is within the range.
 
Back
Top Bottom