Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
[h=5]Maandalizi yote ya maandamano makubwa ya kumngoa Kawambwa yamekamilika,tunaanzia Philips,saa nne asubuhi,kupitia Barabara ya Afrika mashariki,Police line,Makongoro,Uhuru na kuhitimishwa kwa mkutano mkubwa wa hadhara viwanja vya Kilombero,natoa wito kwa wananchi wote kujitokeza kwa wingi.[/h]Hakuna kulala hadi kieleweke