Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

Hapa Arusha ni milio ya risasi tu Kila eneo..
Simple ishu ni kwamba watu wanataka miili ya ndugu zao wakazike miili haionekani
 
wanajivunia silaha tu , wakiendelea hvvyo , wapi watz abroad watatafuta kuwapa vijana

Serikali imefanya kosa na raia wapo tyr kusamehe ila serikali inataka iombwe msamaha wkt yenyew ndo imekosea
Vijana wakiamua kuwa Waasi itakuwa balaa kubwa nchini kwsbb watafadhiliwa silaha nzito na wasioipenda TZ, na nchi haitatawalika

Ndio kama kina M23, LRA na vikundi vingine vilivyoasi

Tuombe Mungu tusifike huko, just imagine tuna vijana wangapi wa JKT waliofundishwa kutumia silaha na wapo mtaani bila kazi?
 
Mkuu Bora wewe umeona Hilo Kwa upeo
Je, nani anajali kuhusu hilo Kwa Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…