Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo,ngaramtoni na arumeru.

Ntaleta update ya kinachoendelea

Nawaamini sana watu wa huko Arusha, hampoi katika jambo lenu. Big up sana wana wa Arusha. Mpaka kieleweke Mwanza, Geita, Mbeya, Tunduma, Dar es Salaam, Zanzibar, Lindi, Mtwara, Bukoba

Chali wangu wa Chuga tupia haraka video mjongeo / picha kabla hawajazima intaneti
 
Asalaam Aleykhum,

Hali ni tete Arusha.

Wananchi wanaandamana kwa wingi wakitaka miili ya ndugu zao wakazike.

Wanachodai wao ni kuwa Polisi waliua ndugu zao kwa risasi na kuwazika kienyeji kama Wanyama ili kuzuia wananchi kuona makovu ya risasi, na kama hawakuwazika basi wawape wakazike wenyewe ati.

Wananchi hawa tayari wana silaha za jadi tayari kwa kupambana na Polisi wakisema wapo tayari kufa wachache lakini nao wataua polisi

Ndugu zangu, hali si shwari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…