Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

Nipo soweto,mzee wa anga amesha Tia Tim.watu wengi balaa

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Hakika habari ya uwazi na ukweli ni kwamba hakika makamanda wako full!
Hapa jukwaani P. Golugwa hakika amehimiza ya kwamba magamba yao ni ngumu!
 
kamanda mbowe ndiyo anatua uwanja wa soweto jijini arusha...

tupa nondo tupa nondo kamanda.. Tupaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
sisemu... Wamekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,

kesho mida kama hii.. Tunaanza,

chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema
chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema
chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema, chadema.....

haa hizo ni kura zinahesabiwa hapo.. Kama ni mpira dakika 90.. Basi cdm 89, ccm-1
 
Kamanda Lema kawachana sana magamba!
Mkutano wa ccm unasikitisha sana, watu wametosheka kwenye viti!
Huu umati ni tishio kwa ccm na cuf!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Itakuwa vyema uwingi wa watu kwenye mikutano ndo iwe wingi wa kura hapo kesho!! Kila la kheri watu wa Arusha, amani itawale.
 
Kamanda Mbowe akitoa salamu kwa Rais Kikwete:
Anasema kesho kuna uchaguzi wa kata 26, na chama chake na washirika wake waliofunga nao ndoa nawaambia kuwa wakipata kata 6 wakajivunie!
Anasema kesho watanzania wanakwenda kupiga kura na kata zaidi ya 20 inakwenda chadema, kumwonyesha rais kikwete kuwa watanzania wanaichukia serikali yako!
 
Mbowe anawaambia CCM na wanandoa wenzao kesho wakifanikiwa sana ni kata sita na wole wao wathubutu kuiba maana kitanuaka....
 
Mbowe: Baada ya kupiga kura kasimame hatua 100, ongeza 2 za bonasi linda kura.
 
Mbowe anasema wataendeleea kumtumia Lema maana ameonekana kazi anaiweza kila wanapo muma anafanya kazi ipasavyo...
 
Kamanda Mbowe anamsifu Kamanda Lema, anasema Lema ni kielelezo na mfano wa kuigwa.
Anasema tunakila sababu ya kumwunga mkono kwenye harakati zake za kuiletea tanzania ukombozi!
Anasema Lema aliamua kuacha posho bungeni, kuja kuwatetea na kuwapigania madiwani wake!
 
MBOWE: Lema ni kielelezo cha askari asiyeogopa (jasiri). Aliacha kuhudhuria vikao bajeti vya bunge na kukosa posho akaamua kukiimarisha chama na hasa kwenye kampeni!
 
CIMG6412.JPG
CIMG6413.JPG
CIMG6414.JPG
CIMG6415.JPG
CIMG6417.JPG
CIMG6419.JPG
Uwanja unazidi kupendeza
 
Back
Top Bottom