Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Kama ni yeye, ina maana huyu alikuwa zaidi ya mamlaka iliyomteua kwa sababu alikuwa juu ya katiba. Namlinganisha na Kim (Kiduku) na hana tofauti kabisa kama ni yeye kwenye hii video.

Unajua maumivu aliyo mwachia huyo jamaa ni makali sana. Mtu mzima kuchapwa nanma hiyo ni kumdhalilisha na pia inaweza pelekea mtu akajiua.
 
View attachment 1817705

Huyu anayepigwa hapa si jambazi. Ni mfanyabiashara aitwaye Ally Asaad Ajirin, anayemiliki duka la Shaahidi Stores lililopo Barabara ya Nyamwezi jirani na Soko Kuu, Arusha. Anapigwa na aliyekua DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na mabaunsa wake. Sabaya ndiye anayeongoza kipigo hicho...
Haya yote kisa chini ya Sabaya Mbowe amekwana kurudi bungeni. BTW kesi iko mahakamai- mbona kama mnaingilia uhuru wa mahakama?
 
Jamaa anachomoka hapa hakuna ushahidi kwamba mtu alikuwa akipigwa hatujui aliyigwa ni mtu,ng'ombe au mbuzi au ubao.....

subirini wakati wa hearing mtashangazwa
Wewe na akili zako timamu unaweza ukawa unapiga ubao au mbuzi ndani ya duka huku unamfokea?
Mnaupiga ubao huku mnaufokea?
Hachomoki
 
View attachment 1817705

Huyu anayepigwa hapa si jambazi. Ni mfanyabiashara aitwaye Ally Asaad Ajirin, anayemiliki duka la Shaahidi Stores lililopo Barabara ya Nyamwezi jirani na Soko Kuu, Arusha. Anapigwa na aliyekua DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na mabaunsa wake. Sabaya ndiye anayeongoza kipigo hicho...
Asante sana Mwenyezi MUNGU kwa kulifyekelea mbali li Meko.
 
Unaongea nini?Huyo Sabaya atashughulikiwa kwa makosa yake,i dont care.
Mbowe na Sabaya hawapishani chochote.
Ashafanya sana ufirauni pale bills kwa mabinti mabarmaid.
Anyway mi si mwanasiasa wala sishabikii chama chochote.
Sabaya akikutwa na mashtaka ashitakiwe,
ila sijapenda watu kushadadia hilo
Inaweza kukukuta hata wewe saa yoyote.
Babu Kijana..makosa ya huyo bhana Sabaya ameyafanya nje ya Wilaya yake kikazi..ndio maana ameshitakiwa nje ya Mkoa wa Kilimanjaro. Ila ukuu wake wa Wilaya hakutakiwa uvuke Hai. Makosa ya mashitaka ni uhalifi alioufanya ama kuwafanyia wakazi wa Arusha tuu. Labda Hai watakuwa na mashitaka yao baadae
 
Unajua sheria we bwege? Inatakiwa mahabusu asikae rumande zaidi ya wiki mbili.
Usiniite Bwege elimu yangu ya sjeria huijui.
Kama Mahabusu hatakiwi kukaa zaidi ya wiki 2 sasa kuahirisha kesi kwa wili 2 wamekosea wapi Kisheria?
Acha ufala
 
Back
Top Bottom