Arusha kwatifuka; machinga wakinukisha

Arusha kwatifuka; machinga wakinukisha

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Wafanyabiashara wadogowadogo wameandamana kwenda kwenye ofisi za manispaa zilizoko maeneo ya Levolosi wakipinga unyanyasaji unaofanywa na mgambo wa kunyang'anywa vitu vyao na kuvigawana...
 
Hapo chachaa!!!! kwani sie ujinga tunataka!!!!
 
Wengi wao ni akina mama wauza mboga mboga na matunda...
 
Hii style ya mgambo wa jiji kuwapokonya "malofa" wenzangu bidhaa zao na kugawana ni DHULMA kubwa sana! Ipo siku mnyonge atapata mtetezi wake. Msishangae baaden tukasikia wamepigwa mabomu ya machozi


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
eneo walilotengewa ni dogo na pia halifai kwa matumizi hasa wakati huu wa mvua
 
aksante,vp cdm hawajaanza kuhusishwa na vuguvugu ilo?
 
Hii habari nayo ni Breaking News?
 
Wafanyabiashara wadogowadogo wameandamana kwenda kwenye ofisi za manispaa zilizoko maeneo ya Levolosi wakipinga unyanyasaji unaofanywa na mgambo wa kunyang'anywa vitu vyao na kuvigawana...

Weka ushahidi JF siyo sehemu ya porojo.
 
Kwake yeye ndivyo ilivyo!!!!!!!!!!

Hujue hii inatoa maana kabisa ya Breaking News, mfano wewe kule kwenu maeneo ya Nyambiti au Nyanguge ukiona nyoka tu unakimbila JF na kuandika Breaking News. Nimeona nyoka.
 
Back
Top Bottom