Arusha kwatibuka CHADEMA wawakimbia CCM Narok

Hii haipo, haijatokea na wala usiitegemee Arusha. CCM mnalijua hilo na ndio maana mtoa thread umetumwa kupima upepo.

asee chaliangu kumbe upo asee,hili li-mbulula linaleta perepeche humu ndani,sijui hata linatokea wapi,tutalilima beto tumletee sereka,analeta u-maandazi huku,,,wewe Shondola,tutakushona,,,mbea mkubwa we mmxxxiiiuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:

Baa ni sehemu ambayo watu huwa wanastarehe zao baada ya kazi za kutwa nzima. Hao vijana wa CCM ukiwemo na wewe kuingia na kupiga kelele imeonyesha dhahiri jinsi msivyo na hekima na kutojua siasa zinafanyiwa sehemu gani.
 
Hii haipo, haijatokea na wala usiitegemee Arusha. CCM mnalijua hilo na ndio maana mtoa thread umetumwa kupima upepo.

asee chaliangu kumbe upo asee,hili li-mbulula linaleta perepeche humu ndani,sijui hata linatokea wapi,tutalilima beto tumletee sereka,analeta u-maandazi huku,,,wewe Shondola,tutakushona,,,mbea mkubwa we mmxxxiiiuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Taarifa za walevi wa baa unaletahumu ili iwejee??
Narok ni baa,sasa kwa wasiojua naro wanadhani ni wilaya au kitongoji.
Jamani mlevi tu huyo mpuuzeni,hao ni wale watu cheap,wananunuliwa kwa bia mbili alafu wanagawa kura inayokuja kutesa watoto wake kwa miaka mitano kama sio maisha yake yote,kwani msingi ndio kila kitu.
 
nakuunga mkono chadema ni chama cha machokoraa mda mfupi wataaibika
 
Hayo yalitokea lini?? Mi mwenyewe niko Arusha sijapata hizo!!

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
nahisi nimekosea njia habari hii haina mashiko.mimi sijui cdm nao walikua na paty hapo norok bar?yani kweli njia za mwongo kweli nifupi.alafu wewe mleta mada kamwambie boss wako nape nauye akupe semina ya kuweka therd za uongo kama hizi nivigumu kwa mtu mwenye elimu ya darasa la awali kama wewe kuiletea ccm mafanikio kwa nafasi hii uliyopewa ya kutudanganya hapa jf.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…