Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
narok ndio wapi? Ccm ndio nini? Chadema ndio nani?...................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haipo, haijatokea na wala usiitegemee Arusha. CCM mnalijua hilo na ndio maana mtoa thread umetumwa kupima upepo.
Baada ya Baraza la Vijana lililomaliza leo Mkoani Arusha Vijana waliungana pamoja kwenda Narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.
Vijana hao wakiwa ndani ya Sare zao wakionesha kuwa na furaha, nguvu na mapenzi mema kwa Chama walianza kushangilia huku wengine ambao ni waimbani wakiimba nyimbo mbali mbali pamoja na Band ambayo hutumbuiza Narok.
Hali hii ilifanya baadhi ya Vijana wa CDM waliokuwepo hapa kuanza kutafakari na kutafuta cha kufanya baada ya kuona wamezidiwa. Kama kawaida yao walianza kelele na matusi. A kunyanyua tuvidole vyao juu hali iliyowafanya vijana wa CCM kutibuka na kuanza kuimba CCM! CCM! CCM! CCM! CCM........
Hali hii iliendelea kwa muda na baada ya CDM kuona wamezidiwa nguvu walianza matusi ila kama kawaida yao na kutokana na ukongwe wao Vijana wa CCM waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.
Hali ilianza kuonekana kuwa mbaya baada ya wana CDM kuanza kutaka kuzusha ugomvi jambo lililomfanya mmoja kati ya wateja wenye mapenzi mema na amani kupiga risasi tatu juu na hapo ndipo wanaCDM walipoondoka kwa aibu huku Vijana wa CCM wakiendelea na burudani kali........
CDM sasa anzeni kuaga......
Hii haipo, haijatokea na wala usiitegemee Arusha. CCM mnalijua hilo na ndio maana mtoa thread umetumwa kupima upepo.
kuna member alinambia kuwa mtoa mada ni she anafanya shughuli zake shivasi mda wa usiku
Kha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa! Kumbe ndivyo alivyo! Kazi kweli kweli!.........
Mwongo utamjua tu, mara ooooh mara sijui, Narok kulikuwa na tukio gani mpaka vijana wa CDM waende hapo. Acha uzushi wewe........
Hee! kumbe vijana wa CCM ni wakongwe!... na kutokana na ukongwe wao Vijana wa CCM waliaapuuzia wakiwashauri warudi wakakomezwe kisiasa ili walje delea na matusi.
Kudadadeki umemsika eh,kumbe huyu jama ana mdomo mchafu namna hii!
Hapo ni mwisho wareli ndugu yangu sio pa kuingia hovohovyo........